Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi kwa mtindo wa NATO

Mbona kama umepanic?

Tajiri kachokozwa kumbuka Qatar siyo Syria au Yemen au Lebanon.

Tulia utaelewa kwa nini Qatar ni tajri.


Kumbe Ritz una uelewa mdogo sana kuhusiana na haya mambo!

Utajiri wa Qatar unatokana na uchache wa watu. Lakini pato la jumla la Qatar lipo chini sana ukilinganidha na Israel. Halifikii hata nusu.

GDP per capita ya Qatar ipo juu kwa sababu watu ni wachache. Sasa linapokuja suala la vita, GDP per capita haina msaada, kilicho muhimu ni Nominal GDP.

Note this:
In 2023, Israel's nominal GDP was around $513.6 billion, while Qatar's nominal GDP was roughly $236.5 billion in the same year.

The current population of Qatar is 3,128,319 as of Sunday, September 14, 2025, based on Worldometer's elaboration of the latest United Nations data.

With a personnel strength of 16,500, Qatar's armed forces are the second-smallest in the Middle East.


Nchi ina watu milioni 3, wanajeshi elfu 16, halafu useme eti inaweza kupigana na Israel!! Kioja.
Waarabu kamwe hawawezi kuwa na muungano wa kijeshi. Mataifa ya kiarabu yana ugomvi na chuki kubwa baina yao. Washia hawawataki wasuni. Washia wakiongozwa na Iran, wanafadhili makundi ya kigaidi ili kuangusha Serikali za wasuni.

Afadhali wakazanie kuishinda Israel kidiplomasia, siyo kivita. Waarabu walivyogawanyika, si ajabu wakiingia vitani, Israel ikawatwanga wote kama ilivyokuwa 1967.
 
Hao Qatar ni wehu unawaamini Qatar wanaolindwa na U.S[mbwa wa Israel] wewe na huyo Qatar wote mna matatizo.
Hata mimi nashangaa mchambuzi mzuri kama huyu et leo anawaamini waarab tena Qatar!
 
Nilimsikiliza prime minister wa Qatar akihojiwa CNN..
Anamponda Netanyahu huku akimsifu Trump...
wanishi naye anampa maswali ya mtego kuona ana maoni kuhusu US.. jamaa anaruka viunzi... 🤣
Wakati ni wazi waliohalalisha hilo shambulizi ni US wenyewe...
Msikilize hapo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=K1xEi2nBrHw&pp=ygUecWF0YXIgcHJpbWUgbWluaXN0ZXIgaW50ZXJ2aWV3
 
Kwa uoga, maneno na unafiki hawatuzidi watanganyika.
 
Wewe si unaona mdomo huo. Mtu ashakula kubeli alaf anataka aingie vitani bila silaha wala jeshi. Nimeamini kama kubeli ni zaidi ya bangi aisee.
 
Hata mimi sijakuelewa kabisa!!! Kwa maana hiyo unampongeza Mzee wa UHARO Ritz ? Au wewe unakula Matapishi yako mwenyewe??

Hapa unatuonyesha waarabu-koko mlivyokosa akili!!!
 

Attachments

  • IMG_1516.jpeg
    115.7 KB · Views: 16
Hizo ni ndoto za mwendawazimu tu Israel ni Kidume huko Mashariki ya Kati hadi huko Ghuba ya Uajemi mtabwabwaja weeee mwishowe mtaufyata tu huo mkia!!!
 
Qatar Airways has deleted “lsraeI” from the map and replaced it with Palestinian Territories 😂👏🏼
Waarabu kwa maigizo hawajambo sana!!! Sasa upuuzi kama huo ut awasaidie nini???
 
Endeleeni tu kujilizaliza hao viongozi wa magaidi bado wataendelea kuwindwa kama digidigi mpaka wauwawe tu maana waliliamusha dude wao wenyewe Oct 07,2023
 
Mtasingizia sana tu US lakini ukweli utabaki kuwa Israel ndiye aliyewashambulia!! Kwa ujinga wenu waarabu-koko mnajidanganya shambulio hilo hali kufanyiwa na Israel!!!!
 
Wanakumbi.

Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.

Mashariki ya Kati kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
==========
Kwahiyo Qatar atatuma F16 zifyatue missile Tel Aviv? Eti eh maana Qatar ni Tajiri hahahaha nitafute POP corn zangu,

Qatar game anayomchezea Israel ina mwisho wake,

Jeshi la umoja wa Arabs wanajua nini watakipata, kama siku zote, nadhani watarahisisha mpango wa Great Israel kweli Mungu wa Israel yupo nao, Masikini Allah hama msaada
 
Hongera sana kwa kupa ukweli Mzee wa UHARO Ritz ni wajinga tu kama yeye wanaweza kuamini UHARO wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…