Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Usichanganye maamuzi ya nchi kwa nchi, na maamuzi ya kiimani, kila imani inavutia upande wake na kuwaona wengine ni wakosefu, waislamu wamekuwa wazi kwenye imani yao, hawataki unafiki kama wengine, kujifanya wanapenda imani fulani isiyo yao kumbe ni uongo wa mchana kweupee
Unafaa kuelewa kwamba hata sisi wakristo hatuna unafiki wa kusema tunawapenda waislamu kumbe tunawachukia. Kwa mfano Mimi, muislamu namuona kama msabato tu au mlokole ambao natofautiana nao kidhehebu. Sina chuki wala upendo, tofauti na ilivyo kwa nyinyi mnatamani hata ukristo upotee kabisa mbaki wenyewe.
 
Nani kasema Uteseke? kama kuishi kwa amri zake Mungu kwako ni mateso hili tatizo lako, lakini malipo ya kuishi kwa amri za Mungu na mafundisho ni lazima ulipwe kwa wakati husika

Wewe, faizafoxy na donatila mpo kundi moja mnahitaji uangalizi wa karibu sana.
 
Kwani mchina hafanyi biashara na mataifa ya kiislamu? ndio maana nikasema wewe unaandika ujinga mtupu , mchina anauza bidhaa kwenye mataifa hayo na yeye ananua mafuta huko, kwahiyo wanategemea sana kwenye kuendesha nchi zao, linapo kuja suala la kiimani ni habari nyingine, mbona nyie kutwa mna tutangazia hapa kuwa asiye muamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wake atachomwa, hapa sisi tusio waamini mnatuweka kwenye kundi gani kama sio wakosefu na wapagani? ebu acheni hoja za kitoto

Kufanya biashara ni moja, lakini nyie kwenda kumlilia baada ya kuchokoza Wayahudi mkiimba alla akba, mbona msimlilie huyo akbar leo mnafuata kafir China awasaidie, mnachekesha sana kwa ujuha.
 
Ngoma ngumu sana siyo rahisi kama unavyodhani israel na marekani wapo kwenye mazungumzo na hamas, wameshindwa kuwaokoa mateka wao pamoja na technology na nguvu walizokuwa nazo mambo yamekuwa magumu hapo ndio ujue kuna mungu
mungu gani huyo ambaye anafurahia watu kutekwa na kushindwa kupatikana?
Kwahiyo tukio la octoba 7, allah naye alishiriki?
 
Aha wapi maandiko yenu ndio yanasababisha mlazimishe ugomvi na dini zingine mnaishia kupigwa, mumekaa kichuki chuki kwenye kila kitu
Mnaandamana kabisa kupinga ujenzi wa kanisa, watu wazima..

View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.

Muslims conflicts
Fight with hindus
Fight with Jews
Fight with Christians
Fight among themselves - shias and baha
Figjt with buddhists
Fights with atheists ( all over the world)

Fight fight everywhere

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

Hii dini imejaa mafundisho ya chuki sana
 
Kufanya biashara ni moja, lakini nyie kwenda kumlilia baada ya kuchokoza Wayahudi mkiimba alla akba, mbona msimlilie huyo akbar leo mnafuata kafir China awasaidie, mnachekesha sana kwa ujuha.
Ndio umeandika nini hapa? nimesha kwambia kuna mambo ya kitaifa na imani za watu ndani , nchi ina mambo yake , nchi za kiislamu zinafanya biashara na China bila wasiwasi, Nchi za kiislamu ni wanachama wa umoja wa kimataifa ambapo China ana kura ya VETO, shida iko wapi kumfata China? mashabiki wa US mna wivu sana na China
 
Kumbe hujui Yahudi anajua mateka wako wapi na wanao Uwezo wa kuwakomboa!
Ila wakiwakomboa hawata pata kisingizio cha kuibonda hamas na kuwafanya mtoto Sio rizki? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
SOURCE: Trust me bro
 
Waarabu wanakubali sana sera za mambo ya nje za China ni tofauti kabisa na sera za ubabe za Marekani

Na China amezidi kupata credit hasa alipozipatanisha Saudi Arabia na Iran
 
Unafaa kuelewa kwamba hata sisi wakristo hatuna unafiki wa kusema tunawapenda waislamu kumbe tunawachukia. Kwa mfano Mimi, muislamu namuona kama msabato tu au mlokole ambao natofautiana nao kidhehebu. Sina chuki wala upendo, tofauti na ilivyo kwa nyinyi mnatamani hata ukristo upotee kabisa mbaki wenyewe.
Kila mfuasi wa dini fulani ni mbaguzi kwa mwengine, kuanzia mafundisho yake na imani yake kwa ujumla, ndio maana sasa hivi mnahubiri mpaka barabarani na kutulazimisha kumpokea Yesu , na asie mpokea atachomwa, sasa mtu kama huyu atakupenda kwa lipi utakapo mwambia Yesu ni tapeli tu muongo hana lolote?
 
Ndio umeandika nini hapa? nimesha kwambia kuna mambo ya kitaifa na imani za watu ndani , nchi ina mambo yake , nchi za kiislamu zinafanya biashara na China bila wasiwasi, Nchi za kiislamu ni wanachama wa umoja wa kimataifa ambapo China ana kura ya VETO, shida iko wapi kumfata China? mashabiki wa US mna wivu sana na China
Unaomba msaada kwa kafiri wakati huko msikitini huwa mnaambiwa "muislamu ndugu yake ni muislamu"
Hata Iran mwenyewe hakoromi. Kimyaaa km haoni
 
HAO Yahudi hawaja kitu kinaitwa makubaliano na wanao waita magaidi!
Katika haya wauliwe woote ni sawa tu kwao!
Ili kwamba muradi 1100 wafe TAIFA LIPONE
Tupo hapa utaona kama hakutakuwa na makubaliano ya pande mbili hapa
 
Waarabu wanaikubali sana sera za mambo ya nje za China ni tofauti kabisa na sera za ubabe za Marekani

Na China amezidi kupata credit hasa alipozipatanisha Saudi Arabia na Iran
Saudia na Iran wanagombananaje wakati ni ndugu wa haki?
Duniani pasipokuwepo kafiri hakuna amani
 
HAO Yahudi hawaja kitu kinaitwa makubaliano na wanao waita magaidi!
Katika haya wauliwe woote ni sawa tu kwao!
Ili kwamba muradi 1100 wafe TAIFA LIPONE
Unaongea vice versa.
Ambaye hataki mapatano ni wapalestina.
Kasome Six day war
 
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.
jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie( hii sentensi nimeipenda mno mpaka nimecheka )
 
Back
Top Bottom