Wanaishi maisha yao ya kiislamu ndio maana Mashoga wanapigwa kama wezi, misikiti ya kutosha , mambo ya kipuuzi hakuna hili hata umoja wa ulaya wanajua, ila ni sehemu ya Urusi, kule China wanawapangia wakatoliki mpaka Makadinali sio waislamu tu, dunia nzima huo utemi wa kupanga makadinali upo China , kule ni CCP basi hakuna kingine, ila bora Mchina halazimishi watu kufata ushoga na usagaji, na hana upande kwenye mambo ya nchi za wengine , kulipua vitoto wale waisrael wanalipua mpaka mtoto njiti na maisha yana endelea