Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

Ndugu Watanzania napendekeza tuitishe Maandamano ya kuwalaani HAMAS kwa kitendo chao cha Kinyama cha kuwaua vijana wetu wawili wa Kitanzania.

HAMAS Liwatokee lolote Baya.
Na waangamizwe wote kwa namna yoyote ile.
Piya usisahau kwenda kubariki Ndoa, Papa ametoa ruhusa Kwa mambo yenu
 
pumbavu wewe, unadhani kila mkristo kiongozi wao ni papa? Papa ni kwa ajili ya wakatoliki tu, wengine hawamtambui kiongozi huyo kwenye madhehebu yao
 
Hii aljazeera nayo imekaa kimbea dhidi ya israel, kutwa kuripoti kipondo wanachopewa hamas. Akili hawana kabisa, ina maana lile shambulio kwa israel na kuteka mateka hawakujua matokeo yake? Wasalimu amri tu na kuachia mateka vita iishe gaza
 
pumbavu wewe, unadhani kila mkristo kiongozi wao ni papa? Papa ni kwa ajili ya wakatoliki tu, wengine hawamtambui kiongozi huyo kwenye madhehebu yao
Walianza Anglican church, USA kwenye ulokole tayari, Sasa Papa amekuja kumalizia kazi, Maandalizi mema ndugu yangu kwenye Maisha mapya na ulimwengi mpya
 
sawa, hebu niambie, hii itawahusu waislam au waislam wao mpango mpya wa ulimwengu hauwahusu?
 
Walianza Anglican church, USA kwenye ulokole tayari, Sasa Papa amekuja kumalizia kazi, Maandalizi mema ndugu yangu kwenye Maisha mapya na ulimwengi mpya
ulokole tayari? Ulokole upi huo wakati tunajua ulokole ni moto mkali dhambi haingii humo?
 
Back
Top Bottom