Tena bara la afrika china hata hatumii nguvu kulishawishi viongozi wetu wenyewe wanajipeleka kumshawishi aje kuwekezaHakika China anakua kwa namna ya kipekee sana. Ukizinguka nchi karibu zote za Africa zilizo kwenye miradi mbalimbali. Asilimia kunwa ya miradi inajengwa au ina ubia na watu wa China.
Sasa ameanza kukuza ushawishi wake ulaya, kitu ambacho USA hataki kukisikia.
Hakika China anakua kwa namna ya kipekee sana. Ukizinguka nchi karibu zote za Africa zilizo kwenye miradi mbalimbali. Asilimia kunwa ya miradi inajengwa au ina ubia na watu wa China.
Sasa ameanza kukuza ushawishi wake ulaya, kitu ambacho USA hataki kukisikia.
Kwakweli na jinsi wanavyojaribu kumzuia ndiyo anazidi kuonyesha kuwa hazuiliki
Mkuu wako committed na maendeleo na hawana mchezo na wala rushwa.Chanzo ni nini hasa I mean starting point na je tunaweza kujifunza kupitia wao?
Hizi kauli mbovu ndio hata huyo mnaemsujudu alikuwa akizitumia dhidi ya wale waliokuwa na mtizamo tofauti na wake.....