ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Tena bara la afrika china hata hatumii nguvu kulishawishi viongozi wetu wenyewe wanajipeleka kumshawishi aje kuwekezaHakika China anakua kwa namna ya kipekee sana. Ukizinguka nchi karibu zote za Africa zilizo kwenye miradi mbalimbali. Asilimia kunwa ya miradi inajengwa au ina ubia na watu wa China.
Sasa ameanza kukuza ushawishi wake ulaya, kitu ambacho USA hataki kukisikia.