Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

Hakika China anakua kwa namna ya kipekee sana. Ukizinguka nchi karibu zote za Africa zilizo kwenye miradi mbalimbali. Asilimia kunwa ya miradi inajengwa au ina ubia na watu wa China.
Sasa ameanza kukuza ushawishi wake ulaya, kitu ambacho USA hataki kukisikia.
Tena bara la afrika china hata hatumii nguvu kulishawishi viongozi wetu wenyewe wanajipeleka kumshawishi aje kuwekeza
 
Hakika China anakua kwa namna ya kipekee sana. Ukizinguka nchi karibu zote za Africa zilizo kwenye miradi mbalimbali. Asilimia kunwa ya miradi inajengwa au ina ubia na watu wa China.
Sasa ameanza kukuza ushawishi wake ulaya, kitu ambacho USA hataki kukisikia.

Mkuu, asilimia kubwa ya Tanzania au hata afrika nzima tunatumia vitendea kazi/Magari vya mchina na mjapan.
 
Chanzo ni nini hasa I mean starting point na je tunaweza kujifunza kupitia wao?
Mkuu wako committed na maendeleo na hawana mchezo na wala rushwa.
Huku kiongozi akipiga pesa anahamishwa au anastaafishwa. Kule ni anashitakiwa na kunyomgwa ni ujumbe tosha kwa wengine.
Wana roadmap ya mipango ya miaka hata 30, sisi kila kiongozi ana dira yake.
 
4by94 Hizi kauli mbovu ndio hata huyo mnaemsujudu alikuwa akizitumia dhidi ya wale waliokuwa na mtizamo tofauti na wake.

Hii tabia ya kujiona kwamba yeye hakosei na kuwa hakupaswa kukosolewa ni tabia ya kipumbavu sana na bila shaka ndio ilichangia kumponza hadi kupelekea yaliyomkuta.

Huwezi ukasema kila wenye mawazo tofauti na wewe basi wametumwa na watu fulani ambao hata wewe unawategemea kwa njia moja au nyingine.
 
Hizi kauli mbovu ndio hata huyo mnaemsujudu alikuwa akizitumia dhidi ya wale waliokuwa na mtizamo tofauti na wake.....

Tatizo lenu waafrika mnapenda kuongea bill ushaidi na mkibwana , mnakuja kuwasumbua ndugu zenu kuomba msaada mitandao , ifike muda uwe unaongea kwa facts na si stories za vijiweni , unazungumzia kuua mtu km vile kununua Malaya , SIASA inatupoteza waafrika mpk tunasahau utu wetu.

Amka kijana upo kwny mtego was wazungu kuwatumieni ili kuvuruga umoja na mshikamano wetu km taifa , huo unakuwa mwanya wao kuja kutunyonya Tena ,

By the way inabid uelew kuw hakuna kiongoz atakaekuja kukutimizia hayo unayoyaota so badala ya kuishi kumtengenezea mwenzio fitina ambapo hata kwa mwenyez mungu utashindwa thibitisha bas tumia muda huo kujijenga kiroho na kimaisha ili uwe na utuliv was nafs , mwili na maisha
 
Back
Top Bottom