Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar.
Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni 83%. Kufikia 2023 matumizi ya Yuan yamepanda kufikia 48% na US dollar yameshuka kufikia 47%
INFOGRAPHIC:
Hii inamaanisha mataifa mengi yanayoagiza bidhaa kutoka China yameonyesha kukubali matumizi ya Yuan badala ya US dollar.
Wakati huohuo taifa la Argentina limetoa tamko rasmi leo kuwa watatumia sarafu ya Yuan tu watakapoagiza bidhaa kutoka China.
IN BRIEF:
China’s cross border transactions by currency
●Yuan: 48.4%
●US Dollar: 46.7%