Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
- Thread starter
- #21
Kwa kuwa China ndiye world's manufacturing superpower tutegemee mataifa mengi kuanza kutumia sarafu ya Yuan kuimport Chinese goodsTusubiri tuone zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa China ndiye world's manufacturing superpower tutegemee mataifa mengi kuanza kutumia sarafu ya Yuan kuimport Chinese goodsTusubiri tuone zaidi.
Ni kweli ila nina wasiwasi itatake alot of years, inabidi China ishawishi central banks zote ziweze liquidate funds zao Kwa yuan instead of Dollar.Kwa kuwa China ndiye world's manufacturing superpower tutegemee mataifa mengi kuanza kutumia sarafu ya Yuan kuimport Chinese goods
💯🤝sasahivi US anategemea consumers sana kuliko hata exports, maana ana trade deficit ya kutisha kwa miaka zaidi ya 10 ila foreign investors ndo wamemsimamisha juu bado, Wana Imani naye, siku wakikata utepe huo, utaona
Ni kweli ila nina wasiwasi itatake alot of years, inabidi China ishawishi central banks zote ziweze liquidate funds zao Kwa yuan instead of Dollar.
Kama biashara ya mafuta duniani itafanywa kupitia yuan miaka 5 mfululizo basi itaipandisha yuan Kwa kiasi Fulani.
Hapa China achukue opportunity afanye amendment ya sera Yao ya kiserikali iwavutie foreign investors, maana sasahivi US anategemea consumers sana kuliko hata exports, maana ana trade deficit ya kutisha kwa miaka zaidi ya 10 ila foreign investors ndo wamemsimamisha juu bado, Wana Imani naye, siku wakikata utepe huo, utaona.
Kama unafatilia siasa za China na mabadiliko yake kisera utaona China anapiga hatua zake kwa umakini mkubwa sana ili kuchukua ushawishi wa marekani duniani kuanzia kwenye usuluishi wa migogoro mbalimbali duniani hadi kwenye nyanja ya kiuchumi na teknolojia. Jana kwenye maongezi ya raisi wa ukrein na raisi wa chini utaona vile maongezi yao yamekuwa gumzo duniani yote ni sababu ya umuhimu wa China kwenye huu mgogoro kama wewe ni mfatiliaji wa vikwazo vya Russia kwa nchi za magharibi kama si China Leo hii Russia uchumi wake ungekuwa kwenye hali mbaya sana na inawezekana ata putin angekuwa anafikiria kuikimbia nchi ila backup ya uchumi wa China kwenye biashara ya urusi kimataifa imezuia madhara ya vikwazo kwa urusi, China azuiliki kwa sasa pesa yake inaweza isiwe kubwa kama dollar ila kiuchumi atakuja kuipiku marekaniBefore the yuan can become a global currency, it must first become a reserve currency held by central banks around the world. Among the benefits China would enjoy are lower trade costs, greater demand for the yuan worldwide, and less concern about the value of the U.S. dollar in relation to the yuan.
Hivyo kinachoikwamisha Yuan kuipiku dollar kama reserve currency ni policy ambayo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China(PRC) wameiweka kwa yuan currency, kwanza haipo pegged dhidi ya dollar
Wanapaswa wairuhusu yuan kwenye fleet-floating scheme kwa IMF kuwaruhusu sasa central banks duniani kote kununua yuan za kutosha na KUIFANYA kuwa reserve currency na hivyo baadaye kutokana na balance of trade , lowering interest rates, fiscal policy amendment, hapo sasa yuan atasimama badala ya dollar, na Dollar dominance itaishia pale.
Kiuchumi anaweza ipiku Marekani ila Yuan kuipiku dollar ni mtihani ambao China anabidi afaulu, ujue mchawi wa yuan ni IMF tu.Kama unafatilia siasa za China na mabadiliko yake kisera utaona China anapiga hatua zake kwa umakini mkubwa sana ili kuchukua ushawishi wa marekani duniani kuanzia kwenye usuluishi wa migogoro mbalimbali duniani hadi kwenye nyanja ya kiuchumi na teknolojia. Jana kwenye maongezi ya raisi wa ukrein na raisi wa chini utaona vile maongezi yao yamekuwa gumzo duniani yote ni sababu ya umuhimu wa China kwenye huu mgogoro kama wewe ni mfatiliaji wa vikwazo vya Russia kwa nchi za magharibi kama si China Leo hii Russia uchumi wake ungekuwa kwenye hali mbaya sana na inawezekana ata putin angekuwa anafikiria kuikimbia nchi ila backup ya uchumi wa China kwenye biashara ya urusi kimataifa imezuia madhara ya vikwazo kwa urusi, China azuiliki kwa sasa pesa yake inaweza isiwe kubwa kama dollar ila kiuchumi atakuja kuipiku marekani
Ni kweli Yuan bado ina safari ndefu lakini kumekuwa na ongezeko kwa kasi kwa mataifa makubwa kuikubali Yuan katika trans-border transactions lazima kunawaumiza vichwa Marekani.Ni kweli ila nina wasiwasi itatake alot of years, inabidi China ishawishi central banks zote ziweze liquidate funds zao Kwa yuan instead of Dollar
Kweli ndo icho nilichokuwa najaribu kuisema ila wewe umeisema kiubora zaidi.Benki za dunia zitashawishika kuweka reserves zao kwa Yuan endapo serikali ya China haitakuwa inaingilia kuishusha au kuipandisha thamani yake. China inapenda kushusha thamani(Devaluation) ya Yuan ili iuze zaidi bidhaa nje ya nchi.
Inaharibu dominance ya Marekani. Kupitia currency yake, Marekani alikuwa anaitawala Dunia indirectly ila kwa sasa wale wote aliokuwa anawapiga vikwazo Wana back-up inayoitwa China.Ni kweli Yuan bado ina safari ndefu lakini kumekuwa na ongezeko kwa kasi kwa mataifa makubwa kuikubali Yuan katika trans-border transactions lazima kunawaumiza vichwa Marekani.
Ahamie kufanya nn?Mwambie huyo mleta Uzi ahamie china au USA utashangaa jibu
Hii sera ya serikali kuingilia Kila kitu ndo inaidumaza yuan kimtindo ila soon naona wataibadilisha.Waafrika hatujielewi, umeona mbali sana.
Hao wanaotaka dollar ishuke uchumi wao sio tegemezi sana kama wa kwetu, na kiufupi wamelenga kupata faida.
Mimi ni shabiki wa China lakini sio shabiki wa yuan. Hatuwezi bet uchumi wa dunia kwa taifa la kijamaa ambalo serikali yake inataka kuingilia kila kitu kwenye uzalishaji. Maamuzi tunayofanya sasa hivi yatakuja kuaffect watoto wetu miaka 20 hadi 30 baadae
Na toka lini ukaiamini serikali? Wale ni wanasiasa wamejaza uongo tu.Benki za dunia zitashawishika kuweka reserves zao kwa Yuan endapo serikali ya China haitakuwa inaingilia kuishusha au kuipandisha thamani yake. China inapenda kushusha thamani(Devaluation) ya Yuan ili iuze zaidi bidhaa nje ya nchi.
yaani watu kama nyie ni bora mngebanwa mapajani ili msije duniani ni hasara tupu .....kwanini mmejijengea kusaidiwa saidiwa na mzungu why ....ndio maana wanatuletea ajenda zao chafu chafu kwa sababu ya ujinga wa kupokea misaada .....amka bhana lazima taifa kama taifa lipambane kuachana na misaada ya mzungu ......Haya Mambo sio mazuri kiushabiki kwa sisi, mataifa tunaotegemea misaada kutoka mataifa ya ulaya, ambayo tunayaombea yapate hasara na kutengwa na dunia. Ni sawa na kinda wa ndege ajaanza kuota mbawa anaombea mama ake afe amrisishe kiota. Akimiliki icho Kiota
Ni kweli Yuan bado ina safari ndefu lakini kumekuwa na ongezeko kwa kasi kwa mataifa makubwa kuikubali Yuan katika trans-border transactions lazima kunawaumiza vichwa Marekani.
Nani ana biggest foreign currency reserve duniani ?Bado yuan Iko nyuma ya dollar kwa kuwa matumizi yake sio globally ukicompare na dollar, Dollar ni reserve currency kwa foreign investors wengi sana, demand yake bado Iko sana maana hata hizi big tech companies zinasafirisha bidhaa zao Kwa kutumia dollar.
I
Andika kwa utulivu ueleweke.Nani ana biggest foreign currency reserve duniani ?
By the way kusema kwamba Pesa yetu ndio kubwa haina tija sana (kuna pro and cons) chenye tija ni nani au ni vipi bidhaa zetu zinapendwa / zinatafutwa ulimwenguni pote..., hata ukiamua watu watumie mavi ya popo ili uwape bidhaa zako watayatafuta tu......
Anyway kila siku nasema hizi FIAT Currency ni Desi tu iliyochangamka.....
Kama haujaelewa uliza; ndio faida ya Maswali....Andika kwa utulivu ueleweke.
China ana dollar nyingi sana, yes ni biggest currency reserve country ila amewekeza kwenye dollar maana anajua nguvu ya dollar.Nani ana biggest foreign currency reserve duniani ?
By the way kusema kwamba Pesa yetu ndio kubwa haina tija sana (kuna pro and cons) chenye tija ni nani au ni vipi bidhaa zetu zinapendwa / zinatafutwa ulimwenguni pote..., hata ukiamua watu watumie mavi ya popo ili uwape bidhaa zako watayatafuta tu......
Anyway kila siku nasema hizi FIAT Currency ni Desi tu iliyochangamka.....