chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Haka ka profile Kako kamekaa vizuri hatari,huwa mara kwa mara na kazoom hata sasa baada ya kuweka hii nakaangalia tena.Umetoa ushauri mkali Sana [emoji38] naamin eeleweka China siyo taifa la kushabikia Wala kuwaegemeaa Ni watu wapuuz mno ,wanyonyaji ,Hana democracy Wala kujali haki za binadamu nashangazwa kuona watu wanawashabikia wachina na kuwacha wazungu , nashangazwa pia kuona watu wakisema wazungu ni wanyonyaji ,HV niulize Kuna mtu mnyonyaji kama mchina na muhindi
Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app