Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

Mwambie huyo mleta Uzi ahamie china au USA utashangaa jibu
Nafikiri wewe hauko sawa kichwani.
Una akili finyu sana.
Hivi kosa la mleta mada liko wapi hapo?
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo,kaweka na data za kiuchumi,Sasa wewe ndio unamuambia ahamid china,uko Sawa kweli wewe?
Jifunzeni kusoma na kuchambua mnachokisoma.
 
Hatushabikii ila mataifa mbalimbali wameamua hivyo. Si uliona juzi kati hata Ufaransa wamenunua liquid gas kutoka China kwa kutumia Yuan
Hawa watu Wana vichwa vizito sana kuelewa mambo.
Nyie mnaleta habari kama zilivyo,wao wanasema mnashabikia.
Kwa hiyo wao wanataka mkiona habari mbaya Kwa USA msiseme mkae kimya TU.
Ingekua pesa ya Urusi ama china ndio inaporomoka kwa Kasi unhewasikia,
"Mnaona Urusi yenu ama hiyo china wamejaribu kushindana na Marekani angalia Sasa Marekani alichowafanyia,fedha zao zinashuka TU thamani,usicheze na Marekani wewe ,Marekani ni akili kubwa.........."
Lkn habari ikiwa mbaya Kwa Marekani hata kuileta TU Jukwaani utaambiwa chagua kwenda kuishi Marekani ama huko kwingine.
Aisee!
 
Haya Mambo sio mazuri kiushabiki kwa sisi, mataifa tunaotegemea misaada kutoka mataifa ya ulaya, ambayo tunayaombea yapate hasara na kutengwa na dunia. Ni sawa na kinda wa ndege ajaanza kuota mbawa anaombea mama ake afe amrisishe kiota. Akimiliki icho Kiota
Bora wafe tuanze upya hiyo misaada yao ndio uliotufanya mpaka leo tuwe na hali hii huku tukiwa tuna madeni kila kona na kodi kila kukicha kwahiyo hiyo misaada haina faida kwa mwananchi wa kawaida
 
Nafikiri wewe hauko sawa kichwani.
Una akili finyu sana.
Hivi kosa la mleta mada liko wapi hapo?
Yeye kaleta taarifa kama ilivyo,kaweka na data za kiuchumi,Sasa wewe ndio unamuambia ahamid china,uko Sawa kweli wewe?
Jifunzeni kusoma na kuchambua mnachokisoma.
Wewe akili kisoda umeshindwa kuelewa maana ya nlichoandika.
Elewa concept ya substance over form
 
Bado yuan Iko nyuma ya dollar kwa kuwa matumizi yake sio globally ukicompare na dollar, Dollar ni reserve currency kwa foreign investors wengi sana, demand yake bado Iko sana maana hata hizi big tech companies zinasafirisha bidhaa zao Kwa kutumia dollar.
I
Hiyo sawa inajulikana sema ndiyo inaenda kuanguka
 
Mwanzo mzuri ila mchina hachelewi kudevalue currency yake ili aongeze export.

Kitu ninachokiona ni kwamba US hana pressure na fedha ya China sababu anajua PP ya watu wa china bado ipo kawaida sana hivyo China bado atategemea sana export na currency yake ikipanda thamani sana bidhaa zake zitakuwa ghali including labour, hivyo kumlazimu kudevalue.

Unless wachumi wa China waisuprice dunia kwa mbinu ambayo haikutegemewa.
 
Bora wafe tuanze upya hiyo misaada yao ndio uliotufanya mpaka leo tuwe na hali hii huku tukiwa tuna madeni kila kona na kodi kila kukicha kwahiyo hiyo misaada haina faida kwa mwananchi wa kawaida
Hivi unajua nchi yako haina uwezo wa kusambaza condom achilia mbali ARV? Chanjo tu ni shida achilia miradi kama tokomeza TB na Malaria.

Kwa mfumo wa maisha uliopo hili jambo la wadhamini kufa ili tuanze upya linatakiwa liende taratibu sana otherwise utawaonea huruma hao wananchi wa kawaida kwa utakayoshuhudia.
 
Mnaongeaa afu China na Marekani wanauziana kwa Dollar
Kabisa imagine china ana reserve kubwa ya Dollar duniani, bado anaithamini dollar.
Sema China akibadilisha fiscal policy ambayo practically ni ngumu kwa yeye kubadilisha maana Yuko export -oriented kama Japan na Yen Yao hapo tutegemee yuan kufanya jambo la kihistoria.
Cheki kwanza hapa chini mwana-Economist maarufu nchini Marekani akiongea kuhusu suala hili ila China ajitahidi maana kweli yuan ana-appreciate ila itachukua muda mrefu Kwa mabenki yote duniani kureserve yuan nyingi kuliko dollar.
 
Attachments

  • Screenshot_20230428-003826.jpg
    Screenshot_20230428-003826.jpg
    61.5 KB · Views: 6
Kabisa imagine china ana reserve kubwa ya Dollar duniani, bado anaithamini dollar.
Sema China akibadilisha fiscal policy ambayo practically ni ngumu kwa yeye kubadilisha maana Yuko export -oriented kama Japan na Yen Yao hapo tutegemee yuan kufanya jambo la kihistoria.
Cheki kwanza hapa chini mwana-Economist maarufu nchini Marekani akiongea kuhusu suala hili ila China ajitahidi maana kweli yuan ana-appreciate ila itachukua muda mrefu Kwa mabenki yote duniani kureserve yuan nyingi kuliko dollar.
Kwenye haya masuala sisi ni washabiki hatujui chochote.
Wamarekani wanajua nini kinafanyika.

China ana mpango wa kuichukua Taiwan, ili asijeumizwa katika biashara ndo maana kaanza wekeza kwenye pesa yake na za nchi nyingine.

Ila bado swala linakuja pale pale demand and supply itasababisha Yuan iwe kama USD
 
Mwanzo mzuri ila mchina hachelewi kudevalue currency yake ili aongeze export.

Kitu ninachokiona ni kwamba US hana pressure na fedha ya China sababu anajua PP ya watu wa china bado ipo kawaida sana hivyo China bado atategemea sana export na currency yake ikipanda thamani sana bidhaa zake zitakuwa ghali including labour, hivyo kumlazimu kudevalue.

Unless wachumi wa China waisuprice dunia kwa mbinu ambayo haikutegemewa.
Thread inapaswa kuishia hapa.

Umeeleweka vyema kabisa, umechambua kama mtu mwenye ufahamu na si mapopoma wavaa kobaz.
 
Before the yuan can become a global currency, it must first become a reserve currency held by central banks around the world. Among the benefits China would enjoy are lower trade costs, greater demand for the yuan worldwide, and less concern about the value of the U.S. dollar in relation to the yuan.
Hivyo kinachoikwamisha Yuan kuipiku dollar kama reserve currency ni policy ambayo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China(PRC) wameiweka kwa yuan currency, kwanza haipo pegged dhidi ya dollar
Wanapaswa wairuhusu yuan kwenye fleet-floating scheme kwa IMF kuwaruhusu sasa central banks duniani kote kununua yuan za kutosha na KUIFANYA kuwa reserve currency na hivyo baadaye kutokana na balance of trade , lowering interest rates, fiscal policy amendment, hapo sasa yuan atasimama badala ya dollar, na Dollar dominance itaishia pale.
Na ili hilo lifanyika lazima tujiulize kabla dolar haijawa reserve currency ilikuwa GOLD ndio Standard na Ili Yuan ichukue nafasi ya Dola kwanza duniani lazima irudi kwenye GOLD Standard Kisha baada ya hapo ndio sandakalawe ianze upya.Lakini Pia lazima tujiulize ni kwa nini USD na Sio Pound wala EURO na wala Yuan.?Hapa inahitaji turudi katika historia tuangalie ni nini kilitokea katika uchumi mpaka ikapelekea shift kutoka Gold Standard na Kwenda kwenye Dollar.
 
Haya Mambo sio mazuri kiushabiki kwa sisi, mataifa tunaotegemea misaada kutoka mataifa ya ulaya, ambayo tunayaombea yapate hasara na kutengwa na dunia. Ni sawa na kinda wa ndege ajaanza kuota mbawa anaombea mama ake afe amrisisiis
Sisi wengine tutashabikia mpaka tupe hatutaki misaada ya kidhalimu eti ili usaidie mukalane wenyewe kwa wenyewe
 
Hapa watu wa Uchumi ndio watatuelewesha.
Pesa inapanda na kushukaa, ila hiyo ni indicator ya hali ya kiuchumi wa kifedha kwa USA .. miaka ya hivi karibuni wamekuwa wana print sana makaratasi yasiwo na backup..
 
Before the yuan can become a global currency, it must first become a reserve currency held by central banks around the world. Among the benefits China would enjoy are lower trade costs, greater demand for the yuan worldwide, and less concern about the value of the U.S. dollar in relation to the yuan.
Hivyo kinachoikwamisha Yuan kuipiku dollar kama reserve currency ni policy ambayo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China(PRC) wameiweka kwa yuan currency, kwanza haipo pegged dhidi ya dollar
Wanapaswa wairuhusu yuan kwenye fleet-floating scheme kwa IMF kuwaruhusu sasa central banks duniani kote kununua yuan za kutosha na KUIFANYA kuwa reserve currency na hivyo baadaye kutokana na balance of trade , lowering interest rates, fiscal policy amendment, hapo sasa yuan atasimama badala ya dollar, na Dollar dominance itaishia pale.
Kwenye hii Dunia hakuna kitu kitabaki kileleni mda wote

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Haya Mambo sio mazuri kiushabiki kwa sisi, mataifa tunaotegemea misaada kutoka mataifa ya ulaya, ambayo tunayaombea yapate hasara na kutengwa na dunia. Ni sawa na kinda wa ndege ajaanza kuota mbawa anaombea mama ake afe amrisishe kiota. Akimiliki icho Kiota.
Umetoa ushauri mkali Sana [emoji38] naamin eeleweka China siyo taifa la kushabikia Wala kuwaegemeaa Ni watu wapuuz mno ,wanyonyaji ,Hana democracy Wala kujali haki za binadamu nashangazwa kuona watu wanawashabikia wachina na kuwacha wazungu , nashangazwa pia kuona watu wakisema wazungu ni wanyonyaji ,HV niulize Kuna mtu mnyonyaji kama mchina na muhindi
 
Back
Top Bottom