Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
- Thread starter
- #81
Kwenye global exchange uko sahihi.Namaanisha kwenye exchange. Nimesema kwenye reserve tushamaliza kama USD ni mbaya haina tija na mashiko basi hiyo China ambayo ndio ina mbadala iachane na USD kwanza ili wafuasi waiache na wao.
Kwenye exchange China ni ya ngapi, sijajua kuanzia February ila last time I checked tumeanza mwaka 2023 Yuan ikiwa ya saba au ya nane kwenye global exchange. Yani ikija kufikia Pound Sterling sio leo, achana na Euro na usiwaze kuhusu USD.
Lakini kwenye global forex reserves Yuan ni miongoni mwa sarafu tano bora duniani. US Dollar, Pound, Yen, Euro na Yuan
Kwa mujibu wa IMF hizi zinaitwa world's five leading currencies