Kawaambie huu uzwazwa wako raia wa Zimbabwe , venezuela , Cuba , Turkey , Sri Lanka , Pakistan ,Kenya , Lebanon , Argentina na nchi nyingine nyingi zinazopitia msoto mkali wa ukosefu wa USD dollar sasa hivi uone watakachokufanya.
Huu ujinga wa kuvimbiwa Makande na kiporo cha viazi na kujiona wataalamu wa global economics mechanism mtauacha soon ,si mmeona yanayoendelea pale Kenya ,mwambieni Ruto akope yuan Kwa serikali ya china awalipe wafanyakazi wa serikali na kuendesha kugharamia mambo mengine au achapishe makaratasi ya sarafu ya shilingi ya Kenya ayaingize kwenye mzunguko tuone ,Ngoja miezi michache ijayo hapa ndio mtajua USD ni nini ? Na nguvu ya USD kwenye global economics ikoje . Na hapa tu uhaba wa USD ni kama mwezi wa tano sasa upo , ngoja kibano kikolee uone mnavyorudi stone age .Tena Tz hii ,mamaee mtajua maharage sio mboga