Matajiri 17 wanaotikisa afrika

Usinilaumu mimi mzee,laumu walitoa hizo takwimu.
Nenda katafute networth zao ndio utaona zinasimama kwa ngapi.
 
Source ya taarifa yako ni ipi manake miaka ya nyuma kidogo Dangote alishafikisha tilioni 50 za madafu
 
Nadhani MO ni utajiri wa kifamilia wa kurithi, siyo self-made kama akina Strive Masiyiwa
Walio na utajiri wa familia mbona wameorodheshwa, tatizo la wabongo hawapend kuwapa watu maua yao, nafikiri wivu ndio tatizo
 
Nigeria ,South Africa na Egypt ndio kuna billionaires ,wametisha sana
 
Hatari,,, sababu ni nyingi pia
Malezi ya tangu awali ndio sababu kubwa ya kuwa muaminifu na tabia njema

Tabia mbaya pia wanaosababisha zaidi ni wazazi wasiojali watoto

Ulaya mfanyakazi anapewa funguo za kampuni na anaridhika na mshahara wake
Sisi angebeba kila kitu
Wengi hawaaminiki mkuu
Nimepata shida sana kufanya kazi nao na wengi ni waizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…