Matajiri 17 wanaotikisa afrika

Matajiri 17 wanaotikisa afrika

We kweli unaongea hujui kitu! GSM umemshusha sana $16mils??? Upo serious wewe??? Bakhresa amewekeza azam media $250 mils, Zambia kiwanda cha alizeti $200mils, bado Unga east Africa nzima pamoja na South Africa ndie anaongoza kwa kuuza Unga kule, hotel Verde amewekeza $20mil, bado timu ya Mpira, bado maviwanda yote hayo app sijaongelea azam marine, logistics, n. K kwa taarifa yako kuna chapisho la Ghana linamtaja Bakhresa kuwa tajiri wa tatu Africa
Usinilaumu mimi mzee,laumu walitoa hizo takwimu.
Nenda katafute networth zao ndio utaona zinasimama kwa ngapi.
 
Source ya taarifa yako ni ipi manake miaka ya nyuma kidogo Dangote alishafikisha tilioni 50 za madafu
 
Nadhani MO ni utajiri wa kifamilia wa kurithi, siyo self-made kama akina Strive Masiyiwa
Walio na utajiri wa familia mbona wameorodheshwa, tatizo la wabongo hawapend kuwapa watu maua yao, nafikiri wivu ndio tatizo
 
1. Aliko Dangote
Net worth: $13.9 billion
Net worth in 2023: $13.5 billion
Origin of wealth: Cement and Sugar
Age: 66
Country: Nigeria


2. Johann Rupert and family
Net worth: $10.1 billion
Rank in 2023: 2
Net worth in 2023: $10.7 billion
Origin of wealth: Luxury goods
Age: 73
Country: South Africa


3. Nicky Oppenheimer & family
Net worth: $9.4 billion
Rank in 2023: 3
Net worth in 2023: $8.4 billion
Origin of wealth: Diamonds
Age: 78
Country: South Africa


4. Nassef Sawiris
Net worth: $8.7 billion
Rank in 2023: 5
Net worth in 2023: $7.2 billion
Origin of wealth: Construction and Investments
Age: 63
Country: Egypt

5. Mike Adenuga
Net worth: $6.9 billion
Rank in 2023: 6
Net worth in 2023: $5.6 billion
Origin of wealth: Telecom and Oil
Age: 70
Country: Nigeria

6. Abdulsamad Rabiu
Net worth: $5.9 billion
Rank in 2023: 4
Net worth in 2023: $7.6 billion
Inherited and growing
Origin of wealth: Cement and Sugar
Age: 63
Country: Nigeria

7. Naguib Sawiris
Net worth: $3.8 billion
Rank in 2023: 8
Net worth in 2023: $3.3 billion
Inherited and growing
Origin of wealth: Telecom
Age: 69
Country: Egypt

8. Mohamed Mansour
Net worth: $3.2 billion
Rank in 2023: 10
Net worth in 2023: $2.8 billion
Self-made
Origin of wealth: Diversified
Age: 76
Country: Egypt

9. Koos Bekker
Net worth: $2.7 billion
Rank in 2023: 11
Net worth in 2023: $2.6 billion
Origin of wealth: Media, Investments
Age: 71
Country: South Africa

9. Patrice Motsepe
Net worth: $2.7 billion
Rank in 2023: 9
Net worth in 2023: $3.1 billion
Origin of wealth: Mining
Age: 61
Country: South Africa

11. Issad Rebrab & family
Net worth: $2.5 billion
Rank in 2023: 7
Net worth in 2023: $4.6 billion
Origin of wealth: Food
Age: 80
Country: Algeria

12. Mohammed Dewji
Net worth: $1.8 billion
Rank in 2023: 15
Net worth in 2023: $1.5 billion
Origin of wealth: Diversified
Age: 48
Country: Tanzania

12. Strive Masiyiwa
Net worth: $1.8 billion
Rank in 2023: 12
Net worth in 2023: $1.9 billion
Origin of wealth: Telecom
Age: 62
Country: Zimbabwe

14. Aziz Akhannouch & family
Net worth: $1.7 billion
Rank in 2023: 14
Net worth in 2023: $1.5 billion
Origin of wealth: Petroleum, Diversified
Age: 63
Country: Morocco

15. Othman Benjelloun & family
Net worth: $1.4 billion
Rank in 2023: 16
Net worth in 2023: $1.3 billion
Origin of wealth: Banking, insurance
Age: 91
Country: Morocco

16. Youssef Mansour
Net worth: $1.3 billion
Rank in 2023: 13
Net worth in 2023: $1.5 billion
Origin of wealth: Diversified
Age: 78
Country: Egypt

17. Yasseen Mansour
Net worth: $1.2 billion
Rank in 2023: 19
Net worth in 2023: $1.1 billion
Origin of wealth: Diversified
Age: 62
Country: Egypt

17. Christoffel Wiese
Net worth: $1.2 billion
Rank in 2023: 18
Net worth in 2023: $1.1 billion
Origin of wealth: Retail
Age: 82
Country: South Africa
Residence: Cape Town

19. Michiel Le Roux
Net worth: $1.1 billion
Rank in 2023: 17
Net worth in 2023: $1.2 billion
Origin of wealth: Banking
Age: 74
Country: South Africa

19. Femi Otedola
Net worth: $1.1 billion
Origin of wealth: Gas stations, Utilities
Country: Nigeria
Nigeria ,South Africa na Egypt ndio kuna billionaires ,wametisha sana
 
Hatari,,, sababu ni nyingi pia
Malezi ya tangu awali ndio sababu kubwa ya kuwa muaminifu na tabia njema

Tabia mbaya pia wanaosababisha zaidi ni wazazi wasiojali watoto

Ulaya mfanyakazi anapewa funguo za kampuni na anaridhika na mshahara wake
Sisi angebeba kila kitu
Wengi hawaaminiki mkuu
Nimepata shida sana kufanya kazi nao na wengi ni waizi
 
Back
Top Bottom