Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
Acha dharau tajiri wa kishumundu
 
Wenye pesa wana conference mkuu na hawahitaji kutumia nguvu sana status yao tu inawabeba
Udomo zege ni kwa vijana wadogo wanaokuwa sio kwa mtu mzima tena mwenye pesa
Soma vizuri nimesema yale maeneo ambayo hawanijui....huwa napata tabu sana....kwa madem wanaonijua huwa nasogeza tu....
just one call!
 
Ukapanda gari gani daladala la wapi.lingekuwa lako ungesema nikaendesha gari.hahaaaa tajiri bana
 
Mimi ni kapuku ila kutongoza sijui maskini. Kimasihara mpaka manzi wa maisha yangu anielewe mwenyewe. Ila napata shida sana kudate na mtu na siwezi kuwa nao wengi
Mkuu sahihi watu tunatofautiana binafsi pia sina uwezo mzuri wa kuzungumza ila niki tongoza mwanamke face to face kitendo cha kumuangalia straight to her eyes tayar namaliza mchezo by experience evarage ni 9 over 10 na win, pia huwa sikurupuki kutongoza tongoza tu kila ninae kutana nae, kiungo kikuu nachotumia ni kumtizama straight ndani ya macho yake na hapo nitapata jawabu tayar kama ni green light ama ni hazard light.
 
SIjawahi kuona tajiri samaki samaki ,wengi wanaenda kupiga Grants Hotel za nyota 5.
 
Wewe siyo tajiri
Ukiwa na hela unakuwa na confidence
Ukiwa huna hela huwezi kutongoza demu mkali
 
Tajiri gani anatongoza!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…