Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

Tajiri hajisemi huwa unaona vitendo tu
Haya tajiri wa jf tumekusikia na domo zege lako
Mtazamo wako una leta ladha ya ukweli, mara nyingi tajiri hajitambulishi yeye kama ni tajiri hadi pale tu atapokuwa na uwezo wa kurudisha kile anachokipata kwa wahitaji wengine bila kutegemea return ya chochote hicho ndicho kipimo cha utajiri.
Mfano mzuri Bill Gate na wengineo wanalitambua hilo.
 
Asante mkuu tupo pamoja
 
Wewe utakuwa tajiri ambaye huna haiba ya kitajiri, labda unafuata masharti ya mganga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu tambua kwamba utajiri ni relative term, inategemea unajilinganisha na watu gani. Mfano, mimi nikipita mtaani na ki-passo changu kuna watu huwa wananiita tajiri. Kwa hiyo acha watu wengine waku-judge, siyo wewe mwenyewe kujipa sifa ya utajiri...
 
Watu wanaowezaga kutongoza wanawake hovyo hovyo ni watu wa hali ya chini hasa wauza urembo,mitumba nk.....wana maneno kama cherehani....mm binafsi mpaka nimwambie mwanamke nakupenda....nikama vile nimebeba na kutua lori la mchanga...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau CHARACTER/PERSONALITY & INTELLECT .

Wakaka huwa mnadhani we are all empty boxes tunajazwa kwa material things na muonekano wa mwanaume tu ila trust me......for a lot of us, utakapofungua mdomo kuzungumza ndo tunajua kama ni NDIO au HAPANA.
Ulioandika ni kweli lakini hali mtaani ni tofauti kabisa. Wanawake wanaangalia mzigo kwanza then mambo mengine ndio yanafuatia
 
Vijana wana hasira kitaani hali mbaya, alafu wewe unawaringishia na utajiri wako wa Mcity lazima wakuchukie tu
 
Hahahhah mkuu umeongea ukweli ambao ni mchungu.
Hakika kutongoza naona kama nanyenyekea sanaa,natamanigi sana ata kutumia ubabe lakini ndo ivo mapenzi sio ubondia!!😁😁
 
DahπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈ πŸ˜‚
 
Usisahau CHARACTER/PERSONALITY & INTELLECT .

Wakaka huwa mnadhani we are all empty boxes tunajazwa kwa material things na muonekano wa mwanaume tu ila trust me......for a lot of us, utakapofungua mdomo kuzungumza ndo tunajua kama ni NDIO au HAPANA.
Hakika kabisa mkuu,, na Hiyo good looking ndy imebeba personality Mkuu.
 
mkuu samahani nashida na wewe,pm haifunguki
 
nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa haelekei kabisa...
nikachomekea zaidi akanipa jibu bovu
nikajikuta nipo samaki samaki napiga grants nilipotoka pale nikapanda gari hme....
Tangu lini matajiri wakanywa grants mkuu?
Grants wanakunywa watu wenye vipesa vya kubadilisha mboga nyumbani na sio matajiri ndugu!
Acha kujichanganya na sie matajiri wa ukweli!
 
Ulioandika ni kweli lakini hali mtaani ni tofauti kabisa. Wanawake wanaangalia mzigo kwanza then mambo mengine ndio yanafuatia
Ndo maana sikujumuisha Mzee Kigogo maana gold diggers wapo na watazidi kuwepo. Hii ni kwa wale tu ambao wanahitaji true partnership/companionship na sio watu wakuwalipia bills na kuwawezesha kuishi mjini. Ikitokea mkahitaji kusaidiana mbeleni sawa.....lakini sio first priority.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…