Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kumuona Lionel Richie amevaa lable kubwa tena ionekane hivi.Kwani bozi boziana ni tajiri wa africa, huyu si mwanamuziki, tena mkongomani, hii ni tabia ya wasanii karibia woote duniani.
Matajiri afrika ni kina dangote.
Sijawahi muona King Kiki, Fresh Jumbe wakiwa wametupia lable kubwa tena ionekane hivi.Sijawahi kumuona Lione Rich amevaa lable kubwa tena ionekane hivi.
Sidhani kama kina youssou ndour, kina fela kuti nao wanapiga bring bring za label kubwaSijawahi kumuona Lione Rich amevaa lable kubwa tena ionekane hivi.
Huyo mwanamziki mkuu wanamziki kuvaa ni jadi yao.View attachment 1845431
Mzee Bozi Boziana amevaa track suit ya Christian Dior lakini Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon huvaa nguo za kawaida sana.
Sijawahi kumuona Lione Rich amevaa lable kubwa tena ionekane hivi.
Mnasimuliana uongo huko kwenye vijiwe. Wewe hauwajui wanamziki wa kimarekani. Lione Rich = Lionel Richie, lable = label, marajiri = matajiri.
Kaboka kwa wanaume madera kwa wanawake...Na nyie maskini wa africa mnapendelea kuvaa nguo gani kulinganisha na maskini wa ulaya?
Unakuta ana Richard mille ya $100,000matajiri wa Ulaya unakuta kavaa kawaida ila mkononi ana Patek Philippe ya $40,000
Ile ya idriss sultan
Hujawahi kusikia hii skendo ya idris na hiyo saa