Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

Je mwenzetu huyu anayelilia kuwekwa kwenye list ya wanamuziki matajiri
p_6820183169255748474955_0_da6864113446478e2af4ee804a48e2f8.jpg
 
Kuna watu wanavaa designer clothes kama wasanii wa nje (USA)?

1.Migos
2. Drake, Lil baby
3. Kizazi cha zamani cha kina marehemu Mj na wengineo
 
Kuna kutovaa labels (brand) na kuficha labels, vinginevyo awe amelipwa…. sisi kwetu ni sifa ila kwa wenzenu ni biashara.

Jifunzeni hizo tofauti kwanza.
Bidhaa zenye brand kubwa zinaleta heshima kutokana na kuaminika kwa brand yenyewe, mfano 'swiss made', Mercedes Benz n.k.

Hata 'huko kwao' kuva labels ni sifa pia, inakua biashara pale ambapo tu kampuni inaweza kufaidika kibiashara endapo mtu maarufu atavaa brand husika!
 
sijui mada zenu mnaokota wapi ?
hebu weka picha za matajiri ya afrika
tuwalinganishe na matajari ya ulaya

hata hivyo afrika hakuna matajiri kuna watu wenye hela
Watu wenye hela si ndio matajiri
 
Bidhaa zenye brand kubwa zinaleta heshima kutokana na kuaminika kwa brand yenyewe, mfano 'swiss made', Mercedes Benz n.k.

Hata 'huko kwao' kuva labels ni sifa pia, inakua biashara pale ambapo tu kampuni inaweza kufaidika kibiashara endapo mtu maarufu atavaa brand husika!

Hicho ndicho hasa pointi yangu, mtu tajiri hahitaji heshima ya namna hiyo ya kupaisha brand za watu bila kulipwa… hata akitumia bidhaa zao lakini hatoruhusu label ionekane kwa maana ni promo tosha na itatumika kibiashara.
 
Sahihi kabisa.
 
Jamani waafrika tukose rangi,sura,hata kuvaa? Acheni watu watupie
 
Bill Gate, Mark Zuckerbergs hata Jeff wa Amazon...

Uliyowataja siyo matajiri bali ni wafanyabiashara... kwa hiyo hawawezi kutangaza biashara ya mtu mwingine kirahisi rahisi...
 
mi nadhani ungesema waafrika kwa ujumla ndo tuna hulka hiyo! angalia wanamuziki wa kimarekani alafu angalia wanamuziki wazungu ndani ya marekani hiyo hiyo!!
Utaona wanamuzik mweusi anamiliki gari kama 100 hivi wakati wakizungu ana gari zake chache tu!! It is in our blood broo!! sisi waafrika ni selfish sana
 
Back
Top Bottom