Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

Kwani bozi boziana ni tajiri wa africa, huyu si mwanamuziki, tena mkongomani, hii ni tabia ya wasanii karibia woote duniani.

Matajiri afrika ni kina dangote.

Usiseme wasanii karibu wote duniani, sema wasanii washamba
 
mi nadhani ungesema waafrika kwa ujumla ndo tuna hulka hiyo! angalia wanamuziki wa kimarekani alafu angalia wanamuziki wazungu ndani ya marekani hiyo hiyo!!
Utaona wanamuzik mweusi anamiliki gari kama 100 hivi wakati wakizungu ana gari zake chache tu!! It is in our blood broo!! sisi waafrika ni selfish sana

Waafrica tunasumbuliwa na ushamba sana
 
Hata mi nikiwa nazo ntavaa, nyi binadamu sio watu wakuwasikiliza...
kila mtu anavipaumbele vyake, niache kuvaa Versace kisa Elon yoko havai [emoji28][emoji28] We only live once, live your one life the way you want to...

Sent using Jamii Forums mobile app
I second you my dear! Life is too short to wear ugly stuffs! Wacha tupambane ila siku migodi ikitema basi tutakuwa tunapia vitu vya hatari.
 
I second you my dear! Life is too short to wear ugly stuffs! Wacha tupambane ila siku migodi ikitema basi tutakuwa tunapia vitu vya hatari.
yani itakua ni Gucci / Versace Fendi Handbag za Bvlgari yani Expensive stuffs
 
So Boziana Ni moja ya matajiri wa Africa na ni level na akina Gates, nk Au mm sijaelewa.
 
T shirt za polo, lacoste zinamwonekano wa kawaida sana,ukiwaona hao matajiri wamevaa utasema wamevaa nguo amabazo sio za gharama lakini ni za ghali
 
Back
Top Bottom