Matajiri wa Afrika wanapenda kuvaa nguo za label ya gharama tofauti na Matajiri Wazungu

Kwani bozi boziana ni tajiri wa africa, huyu si mwanamuziki, tena mkongomani, hii ni tabia ya wasanii karibia woote duniani.

Matajiri afrika ni kina dangote.

Usiseme wasanii karibu wote duniani, sema wasanii washamba
 

Waafrica tunasumbuliwa na ushamba sana
 
I second you my dear! Life is too short to wear ugly stuffs! Wacha tupambane ila siku migodi ikitema basi tutakuwa tunapia vitu vya hatari.
 
I second you my dear! Life is too short to wear ugly stuffs! Wacha tupambane ila siku migodi ikitema basi tutakuwa tunapia vitu vya hatari.
yani itakua ni Gucci / Versace Fendi Handbag za Bvlgari yani Expensive stuffs
 
So Boziana Ni moja ya matajiri wa Africa na ni level na akina Gates, nk Au mm sijaelewa.
 
T shirt za polo, lacoste zinamwonekano wa kawaida sana,ukiwaona hao matajiri wamevaa utasema wamevaa nguo amabazo sio za gharama lakini ni za ghali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…