Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nini kifanyike ili na wewe umiliki hisa kwenye hiyo kampuni?Ngoja nishuke kwenye Bolt kwanza
Kuwa tajiri sio sifa, Nchi nyingi zenye Mabilionea wengi ndio hizo hizo zina umasikini wa Kutupwa,NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.
Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?
Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
Ndio,unazidi kunichanganya kabisa How😂Nini kifanyike ili na wewe umiliki hisa kwenye hiyo kampuni?
Unashindwaaa kuelewaaa mkuuu hahahha
Kinachotakiwa kufanyika mkuu n kuondoa ccm madarakan kwanzaaaNini kifanyike ili na wewe umiliki hisa kwenye hiyo kampuni?
Hao matajiri wanatengenezwa au wanajitengeneza?Kuwa tajiri sio sifa, Nchi nyingi zenye Mabilionea wengi ndio hizo hizo zina umasikini wa Kutupwa,
Usa, China na India zinaongoza Duniani kwa Mabilionea ila pia zina umasikini na income inequality kubwa, sehemu kama India ndio usiseme afadhali hao wengine.
Nchi kama Norway, Finland Nchi za Ghuba, na Baadhi nyengine za ulaya zina standard kubwa sana za maisha na wananchi wengi wanalipwa ila hazina mabilionea wa Kutisha, mfano Finland Haina hata mabilionea 10 na Tajiri zaidi ana $4B usd tu, ila quality ya maisha, Afya, Elimu kwa kila mwananchi ni kubwa mno compare na Usa, China na India.
Unaitoaje?Kinachotakiwa kufanyika mkuu n kuondoa ccm madarakan kwanzaaa
Inasemaje?Nchi nyingine sijui ila kwa Tanzania utaratibu wa kuwa bilionea upo kwenye ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kafanyaje?Da pipy mshushe😂
Sisi tunafeli wapi?Nchi ndio inatengeneza matajiri
Download katiba uisome. Acha upuuziInasemaje?
Ili iweje?Download katiba uisome. Acha upuuzi
Huku bongo CCM inawapa utajiri wa Asians na kuwaacha wazawa wakiwa na Hali mbaya kiuchumiSisi tunafeli wapi?