Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Acha maelezo mengi... hapo uliposema wanasolve matatizo ya matajiri was enough......🟦Mimi nimeandika hivi 👇👇
"Ili ufanikiwe Lazima utatue matatizo ikiwemo matatizo ya masikini"
NB: Zingatia neno "IKIWEMO" , Naona
kama unatafuta ubishi ambao
haupo..
Uko sahihi Hedges funds wao wanasolve Tatizo la Matajiri
👇👇👇View attachment 3150519
Lakini most of Richest man Wanasolve pia matatizo ya masikini Njaa, Magonjwa, Ukosefu wa Elimu, Taraka sababu ya hali ngumu, Matatizo ya kusaikolojia n.k
Wanakuja na njia ya kusaidia masikini ila kwa kulipwa kiasi kidogo ambacho kikikusanywa kwa wingi ndio faida yenyewe mkuu ...!!
Huhitaji kuchanganua hao matajiri wanasolve nini, kuna wengine ni majizi ya mali za umma wanatupia hela zao huko