kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
wewe ndio hasara kwani unatabia kama ya matonya!!!Wewe ni hasara kwa taifa zima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndio hasara kwani unatabia kama ya matonya!!!Wewe ni hasara kwa taifa zima
Inasikitisha..mafao ya wenza wa viongozi wastaafu ni kufuru.
Kwa kuwauzia huduma au kuwapa bure?Ili upate utajiri lazima utatue matatizo ikiwemo matatizo ya masikini...
Sadaka huanza nyumbani habibyhuku bara aliko hakuna wazee
sawa habiby wanguSadaka huanza nyumbani habiby
Wazungu wanasema charity begins at home baby
Uvivu wa kimwili na kufikiri nao ni mzigo!Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Vijana mnapopenda kutawaliwa na kulishwa bure kama ma gigolo.Kila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.
Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k
Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.
Hampambani ndio maana unataka mgaoWe unahisi tulio maskin wote hatupambani kutafuta hela?
Wala mie sio katika wanaotaka mgao mkuuHampambani ndio maana unataka mgao
Huwezi kuelewa kumbuka hapa tunazungumzia matajiri wakubwa ambao wanatumia miundombinu ya Umma kuanzia umeme, Barabara, maji n.k katika uzalishaji wa bidhaa zao na soko kuu la huduma zao ni Hawa Hawa wananchi masikini ambao watoto wao washindwa kuendelea na masomo kisa ada, mazao yao ya biashara hayapati soko zuri kisa Hawa jamaa wananunua mafuta ghafi ya kupikia kutoka Brazil na kuacha alizeti na mbegu zingine kama pamba na mawese sikikosa soko. Elewa mkuukweli nimeamini masikini ana roho mbaya, chuki na wivu kwa tajari. kwani wewe nini kimeshinda kuwa tajiri ili uwasaidie hao masikini unao waonea huruma? usimlazimishe mtu aliyesota kutengeneza BRAND yake, aje atatue matatizo ya eti kwakua wewe huna kitu. kwani umekwatwa mikono na miguu? hata siku moja siwezi kumlaumu tajiri kwa kutokunisaidia. kila mtu AKAZE atoboe ki_MAI$HA.
Huwez amin, nilikuwa nadhani una akiliKila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.
Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k
Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.
Hivyo vitu wanatumia bure?Huwezi kuelewa kumbuka hapa tunazungumzia matajiri wakubwa ambao wanatumia miundombinu ya Umma kuanzia umeme, Barabara, maji n.k katika uzalishaji wa bidhaa zao na soko kuu la huduma zao ni Hawa Hawa wananchi masikini ambao watoto wao washindwa kuendelea na masomo kisa ada, mazao yao ya biashara hayapati soko zuri kisa Hawa jamaa wananunua mafuta ghafi ya kupikia kutoka Brazil na kuacha alizeti na mbegu zingine kama pamba na mawese sikikosa soko. Elewa mkuu
Wewe umechangia kwenye jamii?Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
Hili ndio la msingi benefits zinatakiwa kuuliziwa wanakolipa kodi kitu ambacho wa TZ hawawezi.Hakuna aliyekatazwa kuwa tajiri na nadhani cha kuwauliza ni kama wanalipa kodi stahiki. Kama wanalipa then kinachobaki ni jukumu la hao wanaonunua V8 mpya Ila vyoo vya madarasa tunasubiri ufadhili wa marekani
Kwa akili zako wewe unafikiri maendeleo ya viwanda yanaletwa na masikini?Huwez amin, nilikuwa nadhani una akili