Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanatoa Magari ya kuzikiaNimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Yule mzalendo walimpiga vita kwelikweli kuanzia kobazi,wahindi,waarabu hadi watawala nakumbuka yule jamaa masilingi alivyomuandama!Umesema kweli...
Nlishuhudia watoto wa Bakharesa wakiendesha Gari za kifahari hapa Bongo.
Kuna haja ya kuwakumbusha waige Mfano watajiri Mengi
Dini inasemaje kwenye kusaidia maskini?Pambana kivyako,acha kutia huruma,Dunia inahitaji kukaza na sio kulia lia,
Wewe unajua wamepitia mangapi mpaka kufika hapo?
Wewe umeisadia nini jamii? Acha kua na mawazo ya kimasikini.
That simple?Kwani wewe umekatazwa kuwa tajiri?
We unahisi tulio maskin wote hatupambani kutafuta hela?Ona akili ya kimaskini yaani dhambi tupu tafuta hela uache dhambi hii
Hao wanaolaumiwa na mleta mada,wanaisaidia sana jamii,wanajitolea sana tu,Dini inasemaje kwenye kusaidia maskini?
Jee wenye uwezo mkubwa hawana mchango katika jamii kwa wale ambao hawana uwezo?
Binaadam hatuwezi kuwa sawa kihali wala kimali hilo Allah ndio Kajaalia hivyo ili kutujaribu waja wake. Ndio maana Kuna kutoa Zakka na Mtume pia Akatusisitiza kwenye kutoa sadaqa
Mission sio mtu kufa bilionea, Mission jee ulitumia vp mali yako kwenye kuwapa wasiojiweza?
Rejea kwa waislam waliotangulia na wa zama za Mtume jee walitumia vp mali yao?
Kwanza, sio jukumu Lao kufanya maisha yako yawe poa, hii dunia hauidai chochote, it owes you nothing, and it is not fare,Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Ni sahihHao wanaolaumiwa na mleta mada,wanaisaidia sana jamii,wanajitolea sana tu,
Pamoja na hayo,huwezi kumlazimisha mtu jinsi ya kutumia hela zake.
Mleta mada atafute vyake aache kutia huruma hapa,Ni sahih
Lkn yeye katoa kama rai tu. Na ukiangalia ni kweli. Mungu Alipotutafautishia kwenye kupata ni kwa ajili ya hawa wenye nacho wawasaidie waso nacho ili wapate malipo mema.
Ila tukiangalia kidunia tu ndio tunafeli. Na ndio kama unavosema huwezi kumlazimisha mtu kutoa
Ndiyo mkuu, unashangaa mtu maiti inakataliwa kwa kutomalizia gharama za matibabu lakini kwenye jamii Kuna mabilionea wanatumia pesa kuwapa simba na yanga is that fair?Hapa ndo west Africa wanatupiga gap...pamoja na usalama wa nchi zao kuwa Tete ila matajir+wachezaji wanajitoa sanaa kwa familia duni
mimi sinyonywi mnanyonywa nyinyi! inaonekana mnapenda sana kunyonywa shauli yenu!Duniani kote matajiri wanatunyonyq masikini
Ndio mfumo wa kibepari unavyofanya kazi
Nchi nyingine zipi wanatoa sapoti???Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Ukweli mchungu jamii zao siyo za watu weusi. Circles zao za wahindi na waarabu zinaona msaada wao.Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.
Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.
Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.
Nchi zote mabilionea ni hazina kwa watu wao, anzia Nigeria, S. Afrika, Egypt nkNchi nyingine zipi wanatoa sapoti???
Insha'Allah kheri ustaadhMleta mada atafute vyake aache kutia huruma hapa,
Dunia ya leo inahitaji kupambana,kumsaidia mtu sio amri wala jukumu la lazima,hata wahenga walisema mtegemea cha ndugu hufa masikini,walilenga kila mtu afanye kazi asiwe tegemezi.