Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

Pe
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.

Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.

Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.

Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.

Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
sa ni za kwao unawapangia matumizi? Wakati Baba yako anacheza dansi DDc mlimani park bakhresa yupo kariakoo anauza maandazi
 
Matajiri wanatajirika kwakua wanauza uduma sasa unatakaje vya bure wakat ww hujawai kuwapa pesa za bure tuanzie apo
 
UMASKINI NI LAANA. Mleta mada ni zaidi ya mpuuzi. Wewe na ukoo wako mmekatazwa kuwa matajiri? Kwa akili kama hizi bado safari ni ndefu kama nchi.
 
Kila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.

Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k

Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.​
Maendeleo yakiwa makubwa Sana mtakuwa hamtawaliki
 
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.

Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.

Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.

Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.

Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
Achaneni na matajr kwanza jikiteni Kwa viongoz mnaowachagua ,baada ya kuwachagua tu wanaanza kuiba pesa na kuweka kweny mabenk ya ughaibuni na wanaishi maisha ya anasa ,,tunaona watot wao wadogo wakifadhili magenge ya wale vijana "machawa" wanawaita kwenye shughuli zao na kuwafanya wageni rasmi watot wadogo ambao Bado hata miaka 15 Bado ... Na wale "machawa" naskia huyo dogo hata hasalimii "shikamoo kaka na dada zangu machawa" ila wao ndo wanasalimia "heshima Yako mkubwa"
 
Sio jukumu lao ni hisani tu...
Jukumu lao ni kulipa kodi accordingly na kuwalipa wafanyakazi wao accordingly...
Acheni entitlement mentality na pesa za watu
 
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.

Badala utafakari jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye umaskini wako umetulia unatafakari mali za mtu mwingine. Kama hao matajiri wamesaidia koo zao inatosha sio lazima wakusaidie na wewe. Msaada ni hisani sio lazima.

Wanatengeneza ajira, wanalipa kodi huo ni msaada tosha hawana deni lingine labda wajisikie kufanya hisani na sio lazima. BTW Bakhressa si anatoaga chakula kipindi cha Ramadhan huo ni msaada tosha, shule na hospital nenda zilizojengwa na makanisa nazo sio bure.
 
Sio lazima.....
Matajiri wa hedge funds kwenye financial markets huko hawasolve matatizo ya masikini.... they make the rich even richer
🟦Mimi nimeandika hivi 👇👇
"Ili ufanikiwe Lazima utatue matatizo ikiwemo matatizo ya masikini"

NB: Zingatia neno "IKIWEMO" , Naona
kama unatafuta ubishi ambao
haupo..

Uko sahihi Hedges funds wao wanasolve Tatizo la Matajiri
👇👇👇
Screenshot_20241112-183911~2.png

Lakini most of Richest man Wanasolve pia matatizo ya masikini Njaa, Magonjwa, Ukosefu wa Elimu, Taraka sababu ya hali ngumu, Matatizo ya kusaikolojia n.k

Wanakuja na njia ya kusaidia masikini ila kwa kulipwa kiasi kidogo ambacho kikikusanywa kwa wingi ndio faida yenyewe mkuu ...!!
 
Kutokuwa na uwezo ingali uu mzima wa afya ni matokeo ya uzembe wetu wa kufikiri na kutenda.
 
Mtoa mada siku zote ishi na hili 'Msaada sio haki yako mpaka ulilie kupewa ni Hisani tu usigeuze Msaada kuwa Razima'
 
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.

Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo Mo foundation imesaidia vijana wangapi kimasomo kama siyo uhuni tu.

Hawawazi kurudisha kwenye jamii kile wanachochukua japo kwa uchache kupitia huduma za afya ama elimu. Mabilioni wanayoyachukua kupitia biashara jamii haipati chochote zaidi ya ajira za ujira mdogo kwa vijana kwenye viwanda vyao.

Hawa matajiri wanatakiwa wasaport elimu kwa kutoa ufadhiri wa masomo angalau kwa vijana wachache, watoe pesa kwa ajili ya matibabu kwa wazee ama lishe kwa watoto na siyo kuchukua tu na kujimilikisha. Wenzako nchi nyingine wanatoa saport kubwa kwenye mambo ya kijamii.

Tunataka kuona mchango wa moja kwa moja wa wafanyabiashara wakubwa kwenye afya, elimu na huduma zingine na siyo kuhusika kwenye michezo na sekta ya entertainment pekee.
TAjiri yoyote akishakuwa anatoka Afrika au Asia hesabuni maumivu tu
 
Kila kitu kinawezekana; tajiri namba 1-20, wakitumiwa vizuri wanaweza wakaleta maendeleo chanya kwa jamii na uchumi kuimarika.

Mfano:- tajiri namba 1, apewe mkoa wa Dar, Pwani, Tanga, Morogoro; aakikishe mikoa hiyo ina viwanda, mashamba makubwa ya kilimo, uvuvi wa kisasa, ufugaji wa kisasa; hivyo hivyo kwa tajiri namba 2, 3 n.k

Muhimu wapewe mazingira mazuri ya utendaji; na hakika ndani ya muda mfupi maendeleo yatakuwa makubwa sana.​
Good Insight......Ubaltasar wamwachie nani sasa.
 
Back
Top Bottom