Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

Acha maelezo mengi... hapo uliposema wanasolve matatizo ya matajiri was enough......
Huhitaji kuchanganua hao matajiri wanasolve nini, kuna wengine ni majizi ya mali za umma wanatupia hela zao huko
 
Acha maelezo mengi... hapo uliposema wanasolve matatizo ya matajiri was enough......
Huhitaji kuchanganua hao matajiri wanasolve nini, kuna wengine ni majizi ya mali za umma wanatupia hela zao huko
HA!HA!HA
 
Umesema kweli...
Nlishuhudia watoto wa Bakharesa wakiendesha Gari za kifahari hapa Bongo.

Kuna haja ya kuwakumbusha waige Mfano watajiri Mengi
Wangeendesha IST mngewasema pia
 
Asas n mzawa wa iringa...umewahii kufika iringa?????..…..
 
Tafuta hela uje utekeleze hivyo vipaumbele vyako. Sio kupangia watu wengine mambo ambayo sio vipaumbele vyao.
 
UMASKINI NI LAANA. Mleta mada ni zaidi ya mpuuzi. Wewe na ukoo wako mmekatazwa kuwa matajiri? Kwa akili kama hizi bado safari ni ndefu kama nchi.
Mkuu wewe huelewi mifumo ya maisha ndiyo maana unanishangaa
 
lakini wanalipa kodi kwa urefu wa kamba zao. Waulize wakusanya kodi wanazitumiaje!! Ngoma ipo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…