Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #21
🤝🤝🤝Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).[emoji1752][emoji1545]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝🤝🤝Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).[emoji1752][emoji1545]
Jibu moja zuri lililojitosheleza.'Status' tu, ni sawa na kwenye harusi kualikwa na kukaa meza ya mbele ili uonekane 'acknowledgement'
Sehemu yoyote huwa kuna jamii ya watu, wanapenda 'attention', kuna mwingine yuko tayari akanywe soda ya 500 kwenye hotel kwa sh. 10,000Kuna watu wanafatilia hizo status? Kwamba dem akiona platinum member ndio anakuja pm na chupi begani?
na kupitia hiyo tabia ya kupenda " attention". kuna wachache wanatengeneza pesaSehemu yoyote huwa kuna jamii ya watu, wanapenda 'attention', kuna mwingine yuko tayari akanywe soda ya 500 kwenye hotel kwa sh. 10,000
sijajua kwani ukiwa platinum unalipia na unapata faida zipi has
Tumeendesha JF kwa michango, msione vinaelea.Kuna watu wanafatilia hizo status? Kwamba dem akiona platinum member ndio anakuja pm na chupi begani?
tunasubir kuona maparody nayo hakiwa na verification badge ss unashindwa kujua huyu J Makamba Wenyew au siongoja tuonee!
kazi imefanyika wakuuTumeendesha JF kwa michango, msione vinaelea.
Hapakuwa hata na sponsor yeyote wa kuiwezesha JF, na servers za JF ziko Marekani.
Anhaa apo sawa...Sasa mbona sijawai kuona tangazo?Tumeendesha JF kwa michango, msione vinaelea.
Hapakuwa hata na sponsor yeyote wa kuiwezesha JF, na servers za JF ziko Marekani.
Ukijua kucheza na tabia za watu kupitia teknolojia, lazima utengeneze hela. Na matajiri wengi wakubwa duniani wanatokana na teknolojiana kupitia hiyo tabia ya kupenda " attention". kuna wachache wanatengeneza pesa
kabisa mkuu na watu siku hizi tupo karibu zaidi na simu zetu kuliko hata watoto wetu au wazaz wetuUkijua kucheza na tabia za watu kupitia teknolojia, lazima utengeneze hela. Na matajiri wakubwa duniani wanatokana na teknolojia
Vizuri sana kivipi wakati . unaenda kupoteza ID za watuVizuri sana
na ana watu wa maana wamemzunguka siamini elon yeye idea zote anabuni yeye. kuna nyengine anapata kutoka kwa watu waliomzungukaJamaa ni smart sana na mjanja mno.
Inawezekana kwenye vichwa vya wabunifu, wakawa wanawaza tufanyeje ili kila mshiriki aweze kuleta faida.Tumeendesha JF kwa michango, msione vinaelea.
Hapakuwa hata na sponsor yeyote wa kuiwezesha JF, na servers za JF ziko Marekani.
nakumbuka kuhusu michango ya kutoa ili jf iwe hewani hata nami nilishaambiwaga hiyo kituTumeendesha JF kwa michango, msione vinaelea.
Hapakuwa hata na sponsor yeyote wa kuiwezesha JF, na servers za JF ziko Marekani.
Pia inategemea, kama muda mwingi utautumia pekee yako katika kufanya utafiti na kutafakari, lazima uje na wazo lenye tijana ana watu wa maana wamemzunguka siamini elon yeye idea zote anabuni yeye. kuna nyengine anapata kutoka kwa watu waliomzunguka
na mimi nataka kujua swala la verification badge☑️ lipo vipinakumbuka kuhusu michango ya kutoa ili jf iwe hewani hata nami nilishaambiwaga hiyo kitu
ila sasa nataqka kujua hilo neno platnum liko kivipi kwa mtu ambaye ni member?
hii ililkuwa miaka ya nyuma wakati jf inaanza maana hatukuanzia hivi tulitoka jambochatAnhaa apo sawa...Sasa mbona sijawai kuona tangazo?
Piga tu mahesabu, kwa siku kampuni za simu zinaingiza kiasi gani?kabisa mkuu na watu siku hizi tupo karibu zaidi na simu zetu kuliko hata watoto wetu au wazaz wetu
nadhani hela nyingiPiga tu mahesabu, kwa siku kampuni za simu zinaingiza kiasi gani?
Samahani naweza jua faida za kuwa JF platinum memberWewe ndio umelijuwa hilo leo, mbona JF Platinum members wanalipia?