Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

na ana watu wa maana wamemzunguka siamini elon yeye idea zote anabuni yeye. kuna nyengine anapata kutoka kwa watu waliomzunguka
Ellon ni mjanja sana na mtu anayejua akili za binadamu kila kona anagusa alishagusa cryptos akapiga pesa ..akaitelekeza dogecoin ila juzi kati tangu anunue twitter japo hajatoa tamko ramsi ila anaonekana kuipamba kwa kupost logo ya dogecoin ikiwa kama anailink na payment za twitter...sasa ukija kweny soko dogecoin inapanda kwa kasi ..jamaa ni very smart namuelewa mtu wa kick.
 
elon mtu na nusu
 
Ukiweza kucheza vizuri na tabia za binadamu, utatengeneza pesa; wapo wengine ukiwasifia tu, lazima wakupe kibunda; ndio hivyo hivyo hata kwenye teknolojia katika mitandao ya kijamii hutumika.
 
Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified.

Kwa haraka haraka hii ni mbinu ya Elon kurudisha zile pesa zake ambazo ametumia kununulia Mtandao wa Twitter.

Elon Musk alinunua Twitter kwa $44b.

Ikiwa watumiaji watalipa $ 8/m kwa mwaka itakuwa;

Kwa watumiaji milioni 10 $0.96b

Kwa watumiaji milioni 100 $9.6b

Twitter ina watumiaji 397.5m wanaofanya kazi.

Ikiwa watumiaji milioni 200 pekee watalipa, watazalisha $19.2b kila mwaka

Katika miaka 3 - 4 ijayo itatengeneza zaidi ya $60b kila mwaka.

Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).
Alipe na kodi sasa ,yeye na mwenzake bezos ni vinara wa kukwepa kodi na kulialia kama watoto wakati wanabebwa na government privelled contracts bado wanapewa subsidies na mikopo ya bei nafuu toka federal government yet hawataki lipa kodi ,kila siku visingizio , huu mzigo wote anabebeshwa raia wa Marekani kwa kuminywa kodi kubwa .

Huyu pimbi na mwenzake Bezos wanachukiwa sana pale US kutokana na tabia zao mbovu za tax evasion .

Hii ndio gross income inequality sasa ., mwananchi wa kawaida anaminywa kodi mpaka anakuwa homeless halafu pimbi anayefaidi pesa za uma na contracts doesn't pay his/ her fair share ya Kodi .
Ndio maana yeye na kiasi mwenzake bezos
Wanamchukia Biden na progressive democrats wengine Maana wanawabana kulipa kodi stahiki.
 
Back
Top Bottom