Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

Matajiri wanazidi kuwa matajiri na masikini wanazidi kuwa masikini

South Africa imebebwa na Wayahudi, huwajui vizuri Wayahudi.
hilo swala la south Africa silikatai najua kama company nying S.A zipo chini ya wayahud lakini elon musk ni mmarekani aliyezaliwa S.A lakini pia ana uraia wa U.S.A , canada na south africa sio myahudi
 
hilo swala la south Africa silikatai najua kama company nying S.A zipo chini ya wayahud lakini elon musk ni mmarekani aliyezaliwa S.A lakini pia ana uraia wa U.S.A , canada na south africa sio myahudi
Facebook founder ni nani?
 
Wewe ndio umelijuwa hilo leo, mbona JF Platinum members wanalipia?
Nimepata swali! Hivi unavyo lipia hiyo platinum members una pata nn cha tofauti na ss watumiaji wa kawaida!!?
 
Kuna watu wanafatilia hizo status? Kwamba dem akiona platinum member ndio anakuja pm na chupi begani?
Noma
JamiiForums-1249404281.gif
 
Elon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified.

Kwa haraka haraka hii ni mbinu ya Elon kurudisha zile pesa zake ambazo ametumia kununulia Mtandao wa Twitter.

Elon Musk alinunua Twitter kwa $44b.

Ikiwa watumiaji watalipa $ 8/m kwa mwaka itakuwa;

Kwa watumiaji milioni 10 $0.96b

Kwa watumiaji milioni 100 $9.6b

Twitter ina watumiaji 397.5m wanaofanya kazi.

Ikiwa watumiaji milioni 200 pekee watalipa, watazalisha $19.2b kila mwaka

Katika miaka 3 - 4 ijayo itatengeneza zaidi ya $60b kila mwaka.

Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).
Angalia upya hesabu zako, umekosea kuzidisha
 
Back
Top Bottom