Ni hatari jomba , aisee kuna makampuni makubwa duniani wanatabia ovu , yaani wanaoffshore bank accounts kabisa mfano kile kisanga cha Panama files nk,na ukifuatilia mara nyingi unakuta labda kampuni kama Amazon wakiamua kukwepa kodi katika nchi husika wanakuja na kuoperate kwa kununua vikampuni vidogo then wao wanacheza michezo yao michafu ya ukwepaji wa kodi nyuma ya pazia , hii global cancer hata pale USA ni hivyo hivyo .
Kuna documentary niliwahi kuicheki ,aisee ni noma ,jamaa wana networks zao za upigaji kabisa