Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
-
- #101
hilo swala la south Africa silikatai najua kama company nying S.A zipo chini ya wayahud lakini elon musk ni mmarekani aliyezaliwa S.A lakini pia ana uraia wa U.S.A , canada na south africa sio myahudiSouth Africa imebebwa na Wayahudi, huwajui vizuri Wayahudi.
Facebook founder ni nani?hilo swala la south Africa silikatai najua kama company nying S.A zipo chini ya wayahud lakini elon musk ni mmarekani aliyezaliwa S.A lakini pia ana uraia wa U.S.A , canada na south africa sio myahudi
Nimepata swali! Hivi unavyo lipia hiyo platinum members una pata nn cha tofauti na ss watumiaji wa kawaida!!?Wewe ndio umelijuwa hilo leo, mbona JF Platinum members wanalipia?
NomaKuna watu wanafatilia hizo status? Kwamba dem akiona platinum member ndio anakuja pm na chupi begani?
Unajuwa kusoma kiswahili?Nimepata swali! Hivi unavyo lipia hiyo platinum members una pata nn cha tofauti na ss watumiaji wa kawaida!!?
Mark Zuckerberg na uraia wake ni Mmarekani leta maneno chief 😁Facebook founder ni nani?
Tangu Mwanzo nimekwambia huwajui Wayahudi, ila wao wanajijuwa, mpaka Rais wa Ukraine ni Myahudi.Mark Zuckerberg na uraia wake ni Mmarekani leta maneno chief 😁
Angalia upya hesabu zako, umekosea kuzidishaElon Musk tajiri Mpya wa Twitter amesema watu ambao wako Verified huko Twitter watalipia Tsh 19,000 kwa mwezi na sio Tsh 46,000 tena. Wakishindwa kulipa wataondolewa Verification badge ( Blue tick). Pia amesema mtu yoyote yule atakaye kuwa tayari kulipia kiasi hicho naye atakuwa Verified.
Kwa haraka haraka hii ni mbinu ya Elon kurudisha zile pesa zake ambazo ametumia kununulia Mtandao wa Twitter.
Elon Musk alinunua Twitter kwa $44b.
Ikiwa watumiaji watalipa $ 8/m kwa mwaka itakuwa;
Kwa watumiaji milioni 10 $0.96b
Kwa watumiaji milioni 100 $9.6b
Twitter ina watumiaji 397.5m wanaofanya kazi.
Ikiwa watumiaji milioni 200 pekee watalipa, watazalisha $19.2b kila mwaka
Katika miaka 3 - 4 ijayo itatengeneza zaidi ya $60b kila mwaka.
Sasa kupitia mpango wa Elon musk tunatakiwa kujifunza kuwa kuna pesa nyingi sana imejificha kwenye Technology ( Simu & Mitandao yake).
sio rais wa Ukraine tu hata rais wa korea kaskazin kiduku pia myahudiTangu Mwanzo nimekwambia huwajui Wayahudi, ila wao wanajijuwa, mpaka Rais wa Ukraine ni Myahudi.
Saw a mkuuAngalia upya hesabu zako, umekosea kuzidisha
Hupigwi kizembe🤣ina maana hata kupigwa ban hawakupigi hahaaaa
🤣🤣🤣🤣Aaah, wanakuwa hawafuti nyuzi zako eti?
🤣🤣🙌😁🤣🤣 nishatuma ombi nawsubiri wakuu ss wanibless kijana wao ☑️☑️☑️😁
Hapana! KiswanglishUnajuwa kusoma kiswahili?
hiyo documentary inaitwaje
[/QUlink
Kuna documentary channel moja ni nzuri sana iko you tube inaitwa -Java discover
Unaweza pitia na kucheki ni very informative
Link hii hapa ,ipo YouTube
hiyo documentary inaitwaje
Jina mkuu jamaa washaifungaLink hiyo
nope, jibu sahihi la kulipia hapa JF ni kuisapoti JF'Status' tu
Ata kodi unayolipa ni kwa ajili ya kuisapoti maendeleo ya nchi; iwe ni kwa lazima ama isiwe kwa lazima.nope, jibu sahihi la kulipia hapa JF ni kuisapoti JF
ngoja waje mamods hapa tuone kama hao walio maplantum sijui kama hawatapgwa ban gagaaaaaHupigwi kizembe🤣