Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US Aid, UK Aid, China Aid, Jaica,😬 😬 😬 endelea tu, ARV si wanagawa bure bana
Jamaa alinifundisha demu akingangania geto unamdanganya baby twende tukatembee akitoka tu unafunga mlango unapotea kama siku nzima.. atarudi kwao tuBinafsi Mwanamke (Mtoto wa Mtu) kuja kwangu kupika na kushika shika vitu vyangu ni big NO. tunamalizana hotelin kila mtu anaenda anakolala kila siku, kwanza nasingizia bado nakaa kwa WAZAZI. ili kuepuka usumbufu.
Hivi viumbe havichelewi kuhamia kimasikhara.. unashangaa kaja na Begi, au anaacha chupi, kitenge,.. pochi.. suruali.. sidiria.. mpk siku unashangaa tyr kabati mmegawana nusu.
Geto langu nina mwaka wa 2 huu hajaingia Demu humu. Show zote nazipigia ndichi huko..Jamaa alinifundisha demu akingangania geto unamdanganya baby twende tukatembee akitoka tu unafunga mlango unapotea kama siku nzima.. atarudi kwao tu
Hiyo ya pili naona kama sehemu ya kupikia ni karibu na chooni😀Hioo picha ya kwanza cjaelewa mchizi anaishi na SIMTANK ndani