Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

Weekend yangu
1694165004532.jpg
 
Hiyo picha ya kwanza... Nimcheka miguu ya huko kaka
 
Binafsi Mwanamke (Mtoto wa Mtu) kuja kwangu kupika na kushika shika vitu vyangu ni big NO. tunamalizana hotelin kila mtu anaenda anakolala kila siku, kwanza nasingizia bado nakaa kwa WAZAZI. ili kuepuka usumbufu.

Hivi viumbe havichelewi kuhamia kimasikhara.. unashangaa kaja na Begi, au anaacha chupi, kitenge,.. pochi.. suruali.. sidiria.. mpk siku unashangaa tyr kabati mmegawana nusu.
 
Jamaa alinifundisha demu akingangania geto unamdanganya baby twende tukatembee akitoka tu unafunga mlango unapotea kama siku nzima.. atarudi kwao tu
 
Geto langu nina mwaka wa 2 huu hajaingia Demu humu. Show zote nazipigia ndichi huko..

Kuna mmoja anahisi labda nimeoa ndio maana staki ajue napokaa. Hawa wakishapajua unapokaa watakuwa wanakuja bila taarifa, Risk za hapa na pale. (Unaskia raha tu akiwa mzima, siku ghafla mtoto wa mtu kazima ndani KAFA ndio utajua hujui)
 
Back
Top Bottom