Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

Tembo card master card ya crdb. Jamaa kaenda kuchumbia ana kila kitu isipokua tembo card master card akakosa mke.

Yaah pamoja na lile la crdb simu bank,..aksante saana mwanangu clemeee... Ile nataka kusema tuu Amen...
 
Tumia kibuku.....
Tangazo lilikuwa likirushwa RTD ktk maigizo ya Jangala.

Dunlop ktk mechi zilizorushwa na RTD
 
Tangazo la Revola la ITV, tangazo la Air tanzania," kilimanjaro, kilimanjaro".
 
1.Fredy fredy fredy kitu cha fanta mazeeee.
2.Air Tanzania(wings of kilimanjaro)
3.Sweet menthol(SM sigala) mara nyingi likioneshwa wakati tunawatch Days of our lives- CTN.
4.Sweetheart lotion
Ayo ndio matangazo bora ya biashara kwa wakati woteeeeee
 
Aaah!!! Omariiii mbona unajikuna ngwara ngwaraaaaa...
 
Mshindi sabuni mpya yenye nguvu...

Yenye kusafisha kuliko zote...

Mshindi eeenh!!!
 
daaah tangazo la safari ni safari enzi hizo linaanza mwaka 2000 ,....radio free africa michezo ndo linaanza...
safari ni safari....nchini tanzania.....safari moja...huanzisha nyingine....
umenikumbusha nyuma sana
 
lingine la godoro miaka ya 2007 nililipenda lile tangazo kwenye tv......
kuna bibi kila asbh na mapema kesha amka, afu jamaa nae kila asbh anapita pale kwa bibi na baiskeli yake anamkura bibi nje....
anamsalimia bibi kamwene...
mapembe....
nk
siku moja amepita muda umeenda, hajamkuta pale nje, kuingia ndani bibi anakoroma tu kisa kaletewa godoro mpya
 
Balaa ni tangazo la lucky tembo cresent na kangaroo viberiti bora vya hali ya juu unaopokiwaasha huwaka maramoja na muwako wake ni wa muda mrefu
 
lile tangazo la
ka we ni mzembe
na lile la rungu
lile la rangi_zembwela ana mwambia mashaka,mzee nimepaka rangi nyumba....
safar ni safari_advert bora ya wakat wote
af kuna ile kitu amanda
umkute tu baba mkwe anasema Weita niongeze!
michepuko,no no no kibonde hapana
gazeti la kasheshe
siasa unapenda siasa
ukute tu unaambiwa bado hujakamilisha
au yule anasems,mimi ni daktari wenu wa meno hapa nyumbani,na nimevaa koti jipya,je mimi ni nan
cofrin_wakat nnapokuwa na watoto wakubwa kama wewe
good morning_yan me naumwa af unanambia good morning
fatakiii
dum dum do do dodo,tigo,ebwana ee!
old is good!
 
Chai jaba

Dah kweli chai jaba na lile la jambo...mimi naitwa jambo ndogo na wewe je?

Joj poji na amanda vodacom enzi hizo...haaaaya mchicha.

Cocacola lile la briiiiiiii...hahahahaaaaa
 
Back
Top Bottom