Nilikukuta umezubaa ukiangalia chupa ya orangeMentor we ni mjinga kiasi kwamba hata chizi anakushinda busara! Twende, twende afu mkeo haeleweki jinsia kirahisi kiasi kwamba hata akienda kujiandikisha hospitali kutibiwa lazima aulizwe jinsia(sex).
Elli acha kunivunja mbavu bana...so, wakuu wote wamo humu...
Kwanza nlikuwa na moja la malaria sugu wacha nimpe ndo nimuombe msamaha: Una kiuno kidogo mpaka ukijifunga belt ya kijani unakaa taxi za Ilala...
basi wacha niendelee na wewe:
Yaani wewe ni mjinga mpaka ulienda boarding sunday school!
unatabia mbaya ndo mana ulipozaliwa uligeuka nyumau make my day...loh....
Mentor una mdomo mkubwa mpaka huwa unatumia kuhidhani ndani vitu vidogovidogo kama simu na funguo ili usizipoteze.
umekomaa hadi ulipokuwa darasani ubaoni unaandikia kidole tu badala ya chaki
hata wewe mbona wafanana sana na bushman ati.
Naskia we ni nyeupe mpaka kwa brain yako.
Muone, Pua ka viganja vya Saa Aleksi Fagason alivyotetemeka siku ya kipigo hevi toka Barca.
Natafuta chuo cha matani!
nikiwa bombii nyumbii std three kuna jamaa yangu akiitwa Aidan alipenda sana hili tani la pua kubwa kama KIUTULI. wale wa kunyumba wanaelewa kiutuli ni nini. mkia wa kuku akichinjwa halafu akanyonyolewa mkiani pale pana kauvimbe flani ukikatafuna kana mafuta kimtindo basi ki NGONI kinaitwa kiutuli.
hahahahahahah!uwiii!hakya mungu nimecheka!Mentol ni kiboko