Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Screenshot_20220411-103844.png


pesa sio rahisi kutoa... jamani huyo dada anadai analipwa laki 7

lakini anakomaa nimpe 36,000

keshaniunga kwa watu wanne niongee nao
Screenshot_20220411-104117.png
 
Hao waghana walikuwa wanamwambia huyo mtangazaji kuwa tunalipiza wazungu wametuibia sana na walipeleka mababu zetu kama watumwa.

Ndivo akili za kiafrika zilivo, Acha wazungu waendelee kutwita makima tu
 
tapeli tony kabeti kampuni ya kupeleka wanafunzi nje ya nchi inaitwa universty abroad tapeli mkubwa
 
Very true....Kuna jamaa aliniingia na gia hii huwezi amini[emoji1787][emoji1787]

Napewa dola yan nahongwa balaa, si nikasema danga ndo hili[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]...

Mara ghafla kumbe ile kazi alivyokuwa anafanya na cheo kikubwa kampuni flan maarufu hapa bongo alikuwa anaact yaan anafundishwa kazi, mara akatemeshwa mzigo,akarudi kitaa weee nilikoma[emoji848][emoji848]

Nilikuwa napewaa business proposal za kuinvest almanusura niingie king, nilkuja kushtuka baada ya kumpa kahela kakubwa kidogo kamsaidie kipindi hiki kigumu, ndo akaona ohoo kumbe huyu fwala ana hela eeh afwaaa sasa!

All in all I thank God nilimstukia kabla sijaumia vibaya,[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Sasa hivi naulizwa mbona Wity unanikwepa? Hahahaha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni mpopo au?
 
Tena huyu ni mbongo mwenzetu tu ...halafu nikikutajia kabila lake sasa utachoka[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]

Ni lile kabila linaloongoza kwa ushamba wa kila kitu kivutio cha watalii[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu nae yupo insta. Ana tako, sura, shepu.. si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]

nimetest kama kweli anauza K maana sio kwa mirusho ile kwenye video zake..
nimemwambia nina dola mia nataka mzigo..

kaomba 20k

maji nimeyaomba, sijui niyanywe[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2182443View attachment 2182444
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asee ningeumia vibaya maana nilianza kumuamini walah[emoji848]

Kilichoniokoa kuna siku nilimwambia twende kwenye hiyo business ambayo nikitoa mi milioni 5 after 3 weeks tunapata 10m...I want to see with my naked eyes[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo zilianza chenga nyingi mara ooh opportunities ziko nyingi sio lazima hiyo tu, kesho yake nikapigwa proposal nyingine hapo ndo akili ilianza kucharge[emoji848][emoji848][emoji848]

Nilikimbia sikugeuka nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ke wana roho ngumu sana, ebu chukulia wapo Majambazi, Wachawi na bado Ke wameolewa nao na wanawajua vizuri sana hao Me zao.
Yani ni ujasiri. Unaishi na mtu akiwa nje ya nyumba unapata wasiwasi kama atarudi mzima au la na bado unamzalia na watoto. Ila wanawake sisi majasiri sana
 
Back
Top Bottom