Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Kuna dada mmoja mbongo alikuwa anapiga mzigo UN, alipigwa tukio na hao raia acha kabisa...

Jamaa alijifanya pastor, akamuoa binti yule na harusi ikafanywa Bongo na huko kwao upoponi...

Miezi miwili mingi, ndoa imevunjika na dada si mfanyakazi tena wa UN...
Hiiya mwaka jana?
 
Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni
Acha ubahiri, we toa tu utapata zaidi
 
Kuna scammer mmoja wa Urusi alifanya harusi ya $500,000 kwenye golf court.

Scammers wa Bongo kuna la kujifunza hapa.
Mkuu scammer hapa Bongo wapo wanapga ela nyingi tu hao unaowaskia mapapaa. Basi tu ni vile mtu kutaja taja majina ya watu humu noma
 
Hata mim nishawahi fanyiwa kama hii mzigo ukafika zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23] naambiwa nitume laki 6 na mwanaume kapewa namba yangu nikamuambia kaka chukua eti hiyo mizigo itakusaidia [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha roho hiyo, ungetuma tu
 
Mwingine huyu. Bora nimwambie tu na bado hashtuki
Screenshot_20220410-171548.png
 
kuna watu huwa mko mbali sana na dunia aisee..

huwa unajitapeli mwenyewe kwa tamaa zako kwa kupenda free lunch.... Dunia haina free lunch..
 
sasa kama unatamaa ya kuhongwa gari mara dollar kwanini usipigwe tukio...

Mapenzi yakweli huwa yanamuonekano wake, tamaa mbele matokea yake mapopo wanawapiga...
 
Watu wa west Africa wameshaligundua chaka la Bongo, mtapigwa sana...

Dada zetu tamaa nyingi akili ndogo wengi wao..
Sasa hivi wanawatumia sana kwenye ukahaba wengine Turkey, China, Dubai, Nigeria nk.
wanawaswaga tu huko na kuhold passport mpaka wamalize madeni...
 
Hii inshu nishawahi kuisikia,ukiwaomba passport wanakwambia uwalipe million 20
 
sasa kama unatamaa ya kuhongwa gari mara dollar kwanini usipigwe tukio...

Mapenzi yakweli huwa yanamuonekano wake, tamaa mbele matokea yake mapopo wanawapiga...
Acha madongo wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom