Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Ningemwambia niunge ndio nikupatie pesa. Mtu anatafuta kazi bado unamuomba hela tena jamaniEhehhe eti toa pesa nikuunganishe sehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningemwambia niunge ndio nikupatie pesa. Mtu anatafuta kazi bado unamuomba hela tena jamaniEhehhe eti toa pesa nikuunganishe sehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si wanakuwa washa sort victims wao. Hawaoi tu. Wanajua huyu ana ela au ana access ya ela. All he needs ni kugain her trust. How? Kumwonyesha upendo kumpa zawadi kufanya aaminike 99%.Wanawapigaje sasa?
Matapeli ni watu smart sana na wanafanya hadi tz. Si mwaka juzi akina papaa flani walimpga mzungu ela ndefu hapa alitoka huko kwao akaja nunua dhahabu, wakampokea wakampeleka ofisini wakamuonyesha shehena la dhahabu. Everything seemed genuine baadae akatoa ela akaambiwa atangulie dhahabu zitamfuata. Akachezwa machale akaenda polisi wakakamatwa wakaonyeshwa kwa tv, ela haikurudi matapeli na polisi marafik sana, maforeigner waliwekwa ndan baadae wakatoka wakarudi kwao tena nawaona wamerudi wanaendelea na business kama kawa.Kuna mama mzungu, mme alikufa( wote wazungu) Akapata barua ya pole. Baada ya miezi 3 ,wakamcontact tena, mbona kimya, mme wako ameacha business ya mafuta huku, thamani mabilioni. Mke akajiuliza, mme mbona kanificha. Wakamwambia, mf tupe mill. 30 tukukabidhi kampuni(hizi hela walidai wamekuwa wakiwalipa wafanyakazi kipindi yuko kumya). Mama akapanic, akakusanya hela zote bank, akaweka rehani nyumba, akakopa kwa ndugu. Akatua lagos, akapokelewa na limousine, police escorts mpaka hotelini. Wakaenda benki, akakabidhi cheque, wakamwambia , baada ya siku 3, watamcontact. Hawakurudi. Ndio polisi kuitwa, akaambiwa aonyeshe benk na mtu aliyemkabidhi hizo hela. Jamaa walisafisha chumba cha wafagizi, wakakitengeneza ofisi.
Jamaa wa chunya au morogoro? Hao wazungu lazima watalipa kisasi tuMatapeli ni watu smart sana na wanafanya hadi tz. Si mwaka juzi akina papaa flani walimpga mzungu ela ndefu hapa alitoka huko kwao akaja nunua dhahabu, wakampokea wakampeleka ofisini wakamuonyesha shehena la dhahabu. Everything seemed genuine baadae akatoa ela akaambiwa atangulie dhahabu zitamfuata. Akachezwa machale akaenda polisi wakakamatwa wakaonyeshwa kwa tv, ela haikurudi matapeli na polisi marafik sana, maforeigner waliwekwa ndan baadae wakatoka wakarudi kwao tena nawaona wamerudi wanaendelea na business kama kawa.
Mwanaume huyo anayetumia picha ya mwanamke, kwa hali ya kawaida angekuwa ke na ni muuzaji angekufata popote ulipo sababu umemtangazia cash.Huyu nae yupo insta. Ana tako, sura, shepu.. si mchezo😂😂😂
nimetest kama kweli anauza K maana sio kwa mirusho ile kwenye video zake..
nimemwambia nina dola mia nataka mzigo..
kaomba 20k
maji nimeyaomba, sijui niyanywe😅😅😅
View attachment 2182443View attachment 2182444
Tuma 1000 nipate mb ili nikutumie mapicha yangu nikiwa uchi.Kuna matapeli wengine wanaitwa NIKOPESHE wapo Facebook
Wanawake sijui ni watu wa namna gani maana kuna demu nilikuwa namfahamu yaani yeye anaolewaga na majambazi sugu tu akiwaua aliyenaye anapata mwingine naye jambazi hivyohivyo