Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Matapeli wa kimapenzi mtandaoni kutoka west Afrika

Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ hatujapishana ila mimi sina papara alafu nimezoea pesa ya jasho nakuumiza kichwa. Si pesa ya chaap kwa haraka!
 
Kabisa na unapata funzo.

Ujinga wa watu ndio mtaji wao.
Ndio maana mi huwa nasema usiseme alietapiliwa ni mjinga au mzembe sana ww shukuru Mungu hayakukuta.

Hawa watu wanabinu mbinu moya kila siku, ukiziba hapa wanaibua pale. Wanajua hakuna kitu hufanywa kwa 100% hivyo wao hutaguta ile loophole wakulipue.
Kuna mbongo mmoja 2017 alidakwa Airport TZ Dar, alikuwa akiuza airplane online tickets kwa zaidi ya miaka miwili.

Kampuni ya X Air kuja kustuka inasemekana tayari alishakuwa kaisababishia hasara zaidi ya B 40.

Sasa sijui alikuwa ana-duplicate vipi zile tiketi za ndege bila hata ya kampuni husika kugundua.

Matapeli wana mbinu nyingi sana za akili.
 
Kuna kijana namfahamu alinitafuta aniunganishe kazi Un nimpe laki 2
Nikajiuliza pesa tenaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi mtu akishaniambia nitoe pesa hanioni
Kwenye hiyo show vibibi vimepigwa $1million mwengine$2.8 million.
Vibibi vilikiwa vinataka mtibwa sugar🀣🀣🀣🀣🀣
 
Zipo mkuu sema wanapga wazungu hawa akina papaa mwana flani wanapiga ela nyingi kinoma
Dude alikuwa anasaidia sana wa-TZ kuwaelimisha mbinu za matapeli.

Hivi kwanini alifungiwa kutoonesha muvi zake kwenye TV mbali mbali za TZ [emoji848]
 
Ni kweli mkuu.. wanawake kudanganywa ni rahisi sana
Pole sana, lakini pia wanawake mna moyo wa haraka kusamehe haki zenu.

Upande wangu, vita haitaisha tena aliye tapeli namjua na yupo anapumua? Hiiiii.

Vita ni vita Mura.
 
Kwenye hiyo show vibibi vimepigwa $1million mwengine$2.8 million.
Vibibi vilikiwa vinataka mtibwa sugar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lakin kwenye dating site wanaonywa sana kuwa usitume pesa popte
 
Lakin kwenye dating site wanaonywa sana kuwa usitume pesa popte
Wenyewe wanakwambia yani inafika muda huyo mtu unayechat naye ukidhani mtu halisi anakuwa anakujua kuliko hata mzazi wako. Umeshare naye mengi na uzuri hawana haraka hata miezi tu mnaenda sawa
 
Siku akidakwa na yeye anaunganishwa kwenye tukio...ndo atajua hajui
Mbona hiyo ni cha mtoto?

Kuna Ke na Me siku 1 nilimsikia Mtu mmoja akielezea redio clouds kuwa huwa wanaishi pamoja kama Ke na Me katika ndoa, lakini huwa kila siku wanaenda pamoja kudanga usiku kwa mabuzi na mashugamami na asubuhi kuleta mahesabu mezani kupata riziki za kimaisha [emoji4]
 
Ke wana roho ngumu sana, ebu chukulia wapo Majambazi, Wachawi na bado Ke wameolewa nao na wanawajua vizuri sana hao Me zao.
Wanawake sijui ni watu wa namna gani maana kuna demu nilikuwa namfahamu yaani yeye anaolewaga na majambazi sugu tu akiwaua aliyenaye anapata mwingine naye jambazi hivyohivyo
 
Back
Top Bottom