Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu

Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
 
Acha uchawi wewe, ndiyo kwanza wako kwenye majaribio hata vipindi havijaanza.
 
Kama wamekuja ku join kwenye industry ya utangazaji watafikia malengo Yao lakin Kama wamekuja kuwaondoa Clouds wamejipa assignment ngumu sana
Majizo na jeshi lake kachemsha sembuse uyu
 
Nilidhani labda watafiti walikosea kumbe ni sahihi kabisa kwamba tz watu wake ni wenye wivu,tamaa sasa napata picha....
Yes wivu wa wasafi kwa clouds sasa unaonekana wazi kuwa walichemka
 
Wapumbavu hao badala waweke iwe free to air wanajifanya iwe inalipiwa..
Yani Discovery tulipie Nat Geo tulipie hadi hizi taka taka sijui Wasafi Azam tulipie?
No way!
ngoma ngumu now wamehamia kuipromote dizzim tv ya bundala
 
Back
Top Bottom