Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Umetumwa wewe. Kila mahali vijana wenye AzamTV wanaangalia miziki na bado matangazo
 
Utawaweza Wabongo ndugu yangu

Enzi hizo kabla ya kufeli Maandamano ilikuwa Kila wanachoambiwa Na Da mange Wao wanameza tu hawataki kutafakari
Ikifeli watasema ni ya Diamond ila ikija faulu utaambiwa ni juhudi na ubunifu wa jo kusaga kwakuwa ni yake

Akili za wabongo ni za ovyo ovyo!
 
Tatizo jina la hiyo Tv nalo halikuwa well programmed hakukuwa na haja ya kuendelea kuiita wasafi TV , mshauli wao alichemsha na kwakuwa tcra wanaangalia mpunga wakaisajili hivyohivyo, yumkini sku akaibuka mwingine na kuanzisha wachafu TV, hapo ndio moto utakapo waka.
 
Hivi clouds tv ina vipindi gani vizuri?

Uzuri wa kitu inategemea na Mtazamo,Elimu na life style yako

Mie kwangu Shilawadu huenda kikawa ndio kipindi kizuri zaid lakin kwako kikawa ndio kipindi kibaya zaid
 
Kinachotakiwa ni ubunifu na uvumilivu na watafanikiwa. Wanapaswa kuelewa kuwa Watanzania wanapenda sana habari za mipasho na umbea na burudani sana zikiwemo tamthiliya za Kifilipino.

Wakiwekeza kwenye muziki, habari za udaku za wanamuziki, habari za umbeya za wanasiasa na watu maarufu, bongo muvi, habari za michezo na tips za kubet na tamthiliya za Kifilipino hakika watatoboa sana. Kwa sasa hivi haya ndiyo mambo Watanzania wanapenda kusikiliza.
 
Majungu yana uhusiano wa karibu sana na utanzania .
 
Wabongo ni wanafiki sana!
Angalia wote waliowahi kugombana na clouds, mwanzoni utaona kama mpo pamoja ila mwishoni unajikuta uko peke yako!
Refer TID ,vinega,Jide,RamaD,Ruby......
walipata sapoti sana ya RAIA mwanzoni!

Mwanzoni nakumbuka ilikuwa kila mahali Wasafi TV, Mara clouds Sasa watapotea ila kiukweli zile amsha amsha zimepotea ghafla!

Ni kama enzi zile TVE inaanzishwa humu zilikua thread za kusifia zinaanzishwa kila siku!
Ila Sasa hivi yako wapi?
 
Wakipunguza kuajiri wasio na ujuzi wala si taaluma yao watafanikiwa.
 
Wapumbavu hao badala waweke iwe free to air wanajifanya iwe inalipiwa..
Yani Discovery tulipie Nat Geo tulipie hadi hizi taka taka sijui Wasafi Azam tulipie?
No way!
Umasikini mbaya sana aisee... Omba Mungu akupunguzie umasikini Mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…