Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Natapika, najikuna ngozi uvimbe, mafua, macho yana washa, kifua kina bana na weza kupumua kwa shida.Ukila unafanyaje hiyo allerg
Ndio maana nika tumia neno Allergy.. Which means kuna effects baada ya kula... Au neno Allergy huli jui?Mi nilijua ukila vinakuletea matatizo fulani ya kiafya kumbe hutaki kabisa kutia hivyo vyakula mdomoni. PAMBANA NA HALI YAKO TU
Shukran! ipo allergy.. Kabla nili wai kudhani nipo peke yangu.. Ila nilisha kutana na watu kama wawili hivi wenye shida kama yangu....Duuuh pole Sana ndugu yangu mi ndo Mara yangu ya kwanza kuckia Allergy ya ngano. Inabidi utafute tiba madhubuti kwa sababu maisha yetu ya kiswahili vyakula vyenye ngano ndo rahisi kupatikana. Mungu akujalie upate tiba.
Mkuu uende mbali zaidi ujitwange risasi afu utuletee mrejesho wa kinga za mwili wakoUlishawahi kufa kwa kung'atwa na nyuki wawili? By the way, mimi huwa nina test immunity mwilini yangu kwa kung'atwa na nyuki.
Sindano mkuuHuko hospitali ulikolazwa walikutibu na dawa gani?
Kweli mkuuNdugu acheni kumletea utani mwenzenu; Hivi mnazijua kweli "Allergic reactions" au mnaleta utani tu? Mtu akiomba msaada, msaidie na sio kumkejeli. Hakuna kitu kidogo kwenye afya ya mtu, walio kwenye "medical field" watanielewa.
Ukikosa kucomment tulia tuSasa nyuki tu unalazwa,je ukikatwa na nyoka hata wa kawaida(mwenye sumu sio kali) si ndio utapelekwa ICU?