Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Come down basi
We mzananki mbona unapaniki hivi?
Katiba ni maamdishi, tu mtawala akikataa kuyaheshimu lazima mwananchi ushiriki.

Hata uwenna maandishi mazuri kiasi gani lazima upambanie mtawala ayaheshimu.

Kukaa zako unakula vizungira unadhani watawala wana huruma na wewe huku unamlaumu Nyerere ni UJUHA.

Kwenyebkatiba hakuna sehemu inaruhusu Watu wauawe, wateswe, wafungwe kwa uonevu au wagire watu.

Hizo ni tabia binafsi za watawala.
 
Watanzania ni wanafiki saaana ukiangalia katiba yetu,chama Dola CCM na muundo wa muungano unagundua Nyerere ndie adui namba 1 wa taifa.
Mimi nilijua ni peke yangu ndo ninago hiyo perspective
Nyerere hakutaka hata nchi ya kidemokrasia alijenga hiyo mizizi
 
Kwahiyo kila anayempinga Nyerere ni muislamu Tu?
No, wapo Wakristo wengi tu pia wanampinga Nyerere but wewe na mzee Mohammed Said hamumpingi Nyerere kwa ideology zake, mnampinga Nyerere kwasababu ya imani yake, mengine haya mnayavisha nguo tu. Tundu Lissu ni Mkatoliki but huaga hakubakiani na Nyerere hadi kesho kutwa. Yeye anampinga kwasababu ya kutofautiana ideology
 
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Nani alikwambia kwamba aliachia madaraka kwa hiari yake??hujui kama mashinikizo toka nje baada ya Hali yq uchumi kuwa mbaya kiasi cha kutomithilika ma majaribio mengi ya kutaka kumpindua ndo yalimfanya ajiuzuru?? Au hujui kuwa Nyerere ndo rais aliyejaribu kupinduliwa mara nyingi zaidi ktk hisotria ya taifa letu?? Zaidi ya mara 6,au hujui kuwa miaka ya mwisho wa utawala wake ucbumi ulirudi ground 0,uzalishaji ulishuka watu walipanga foleni kupata Unga wa njano wa msaada sambamba na kuvaa magunia baada ya viwanda vya nguo kushndwa kuzalisha chochote??
 
Nadhani wewe una laana ya wazazi wako. Kumlaumu Nyerere kwa umaskini wako ni UHAYAWANI

Umaskini ni insu mtambuka. hivyo jaribu kuwa specific na umaskini unaonihusisha nao. isijekuwa unaoongelea umaskini wa kutovulia upumbavu ama umaskini mwingine tu.
Nb;
Mimi sijamlaumu Nyerere kuwa chanzo cha kufeli ili taifa,mimi NIMESEMA Nyerere ndiyo chanzo cha kufeli ili taifa.

Read and comprehend without sounding Incoherently on my mentions.
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Ukweli mtupu.
 
Huu ni mtazamo finyu kutoka kwako mtoa mada japo una uhuru wa kutoa maoni.

Sijawahi kumkubali mtu yeyeote anaye link matatizo yetu ya sasa na J K Nyerere. Nyerere hadi 1985 katawala miaka 24.

1985 mpaka leo ni miaka 40, halafu vichwa 5 baada ya Nyerere bado tuendelee kumlaumu yeye ? Not fair at all.

Yaani 60% ya Watanzania wamezaliwa baada ya yeye kuacha madaraka, bado kweli tuendelee kumlaumu?

Na 40% wamezaliwa 2000 kuja huku mbele wamekuta amekufa, nao wanamlaumu Nyerere.

Nyerere aliondoka hajachimba madini instead aliacha ameyahifadhi kwa ajili ya kizazi hiki na cha baadaye. Na utajiri uko kwenye madini, bado TAKATAKA kama Makonde plateu zinamlaumu
 
Takataka wewe na ukoo wenu wote

Yeye ameacha id
No, wapo Wakristo wengi tu pia wanampinga Nyerere but wewe na mzee Mohammed Said hamumpingi Nyerere kwa ideology zake, mnampinga Nyerere kwasababu ya imani yake, mengine haya mnayavisha nguo tu. Tundu Lissu ni Mkatoliki but huaga hakubakiani na Nyerere hadi kesho kutwa. Yeye anampinga kwasababu ya kutofautiana ideology
Ideology ipi? Ujamaa ambao ulifeli? Watu walivaa magunia? Kupata sabuni ulikuwa shida? Viwanda vilifeli? Na wapi nimesema kwamba napinga na Nyerere kwa sababu ya imani yake?
 
Yeye ameacha id
No, wapo Wakristo wengi tu pia wanampinga Nyerere but wewe na mzee Mohammed Said hamumpingi Nyerere kwa ideology zake, mnampinga Nyerere kwasababu ya imani yake, mengine haya mnayavisha nguo tu. Tundu Lissu ni Mkatoliki but huaga hakubakiani na Nyerere hadi kesho kutwa. Yeye anampinga kwasababu ya kutofautiana ideology
Ideology ipi? Ujamaa ambao ulifeli? Watu walivaa magunia? Kupata sabuni ulikuwa shida? Viwanda vilifeli? Na wapi nimesema kwamba napinga na Nyerere kwa sababu ya imani yake?
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Hapa tunamfanya Nyerere kuwa 'scapegoat'. Tatizo ni sisi wenyewe. Kwa maoni yangu, tunakosa intelligent/critical thinking.
 
Babu yako masikini. Baba yako masikini. Wewe ushakua mtu mzima bado masikini. Hapo tatizo ni wewe sio watangulizi wako. Ukishakua mtu mzima you are the background huwezi endelea kulalamikia background yako. Hizi cheap excuses mnazotafuta ni ufinyu wa akili na uvivu wa uwajibikaji badala ya kukabiliana na uhalisia.

“If You Born Poor,It is not your mistake, but if you die poor,it is your mistake”
 
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.

Watanzania wengi wanapenda cheap excuses and deflection over finding solutions. Hili ni tatizo toka juu hadi chini. Viongozi wao kila siku kulaumu wazungu wanatuibia wakati wezi wakubwa ni wao wenyewe, mitanganyika nayo fall for it.
 
Huu ni mtazamo finyu kutoka kwako mtoa mada japo una uhuru wa kutoa maoni.

Sijawahi kumkubali mtu yeyeote anaye link matatizo yetu ya sasa na J K Nyerere. Nyerere hadi 1985 katawala miaka 24.

1985 mpaka leo ni
huna credibility yoyote hadi sasa ya kujibiwa kielemu,nimekuupuuza.
Wewe ni HAYAWANI !! Taifa limefeli kitu gani andika hapa with empirical examples
kitu gani!.
umejuaje kuwa kilichofeli ni "KITU" na sio MTU(Ntu)?.

anayepaswa kusema kilichofeli ni KITU ama MTU ni mimi ama wewe?.

umekuwa kama Mbwa mwenye kichaa.
Jinga kabisa.
 
huna credibility yoyote hadi sasa ya kujibiwa kielemu,nimekuupuuza.

kitu gani!.
umejuaje kuwa kilichofeli ni "KITU" na sio MTU(Ntu)?.

anayepaswa kusema kilichofeli ni KITU ama MTU ni mimi ama wewe?.

umekuwa kama Mbwa mwenye kichaa.
Jinga kabisa.
Kama unaweza kumjibu mbwa wewe je utakuwa ni nani? Mbweha au pimbi?
 
Back
Top Bottom