Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Labda ujinga nilipewa na ukoo wako na mama yako!
You must be as dumb as a donut. Kwa akili yako kusema wewe masikini namaanisha wewe literally? Lugha ya picha hujui sijui shuleni ulisomea ujinga? Kama jambo dogo hivyo huwezi kuelewa endelea kumlaumu Nyerere na mababu zako kwa ujinga wako.
Idiot
 
Chizi
Mbona umesahau, au umeficha kwa makusudi kosa lake kubwa kuliko yote?
Kwa chizi kama wewe kupata fursa ya kuzaliwa na wazazi wako. Asingefanya makosa kuwezesha wazazi kumpata mtu chizi wa aina yako tusingemlaumu mpaka wakati huu.
Hili ni jibu langu la rejareja tu kabla sijasoma uchafu ulioweka huko ndani. Kwa hiyo nitakapopata nafasi ya kuusoma huo uchafu, na kuazima "uchizi" ili niwe ngazi moja kwa kuelewana vizuri, nitarudi tujadili vizuri mada yako hii. Jiandae vizuri ili twende sambamba.
Wewe,ukoo wako na familia mpumbavu mkubwa nenda kajiuze vizuri huko
 
Matahahira hawawezi kukuelewa hasa huyu mleta Uzi.Mchunguze umri,shule na vyuo alivyosoma utagundua TU kwa nini eneo analohubiria Mwamposa wanajeshi wa Tanzania walikuwa wanapategemea kwa nyama za makopo na biscuits kipindi Cha vita vya Kagera.Hawa vijana wajinga sana Tembeleeni viwanda vya Moro watu wanafugia mbuzi huku wakikopa mabasi.
Ebu nitokee hapa mbwa mkubwa wewe
 
Kama kuandika tu hujui, utajua wapi aliyoyafanya Nyerere, eti kumbalaguza ? Ndiyo nini ?????

Mzee/Mwl Nyerere aliacha viwanda zaidi ya 400, mmewauzia wahindi mkang'oa machines na kuvifanya ma-godowns ya kuhifadhia takataka za china. (Aibu)

Kulikuwa na kiwanda mpaka cha kusafisha mafuta (crude oil) toka nje,, mmewapa waarabu wanahifadhia mafuta wanayotulangua kwa bei mbaya. (Aibu)

Anayempinga Nyerere ni ama hakuwepo enzi zake, au ni mdini anayewachukia WAKRISTO.

Huwezi hata robo kumlinganisha Nyerere na watawala waroho wanaolifisi taifa kwa kasi na pupa ya ajabu.

Kuna vitu Nyerere hangethubutu kuviuza kama vile, mbuga za wanyama, bandari, misitu,, madini, gas, nk vyote vimeuzwa ambavyo ndivyo moyo wa nchi.

Wakati huo maji, vyoo vya shule, ajira, amani hakuna. Tafakari, usimlinganishe Nyerere na Rais yeyote Tanzania baada yake. Tumeishi maisha ya Marais wote, I know them.
Unawaza udini tu mbwa wewe kwahiyo kila anayemsema Nyerere ni muislamu? Yaani muislamu amchukie mkristo anapata faida gani? Nitokee hapa mbwa
 
Unawaza udini tu mbwa wewe kwahiyo kila anayemsema Nyerere ni muislamu? Yaani muislamu amchukie mkristo anapata faida gani? Nitokee hapa mbwa
Bichwa lako ni empty box. Au tuseme ni kifuniko cha shingo. Useless head kabisa. 🤔
 
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake

Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi

Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.

Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Nyerere kafa 1999 miaka 26 iliyopita, taifa hili lina watu milioni 65 wote hawa akili hawana kiasi cha vichwani mwetu kumfufua Nyerere na kumbebesha lawama?.

Huu ndio unaitwa uvivu wa kufikiri, ugonjwa unaotutesa kitaifa.
 
Hata vita vya Uganda hakukuwa na sababu ya msingi kupigana.Alipigana kumsaidia rafiki yake Obote kurudi madarakani Kwa gharama ya watanzania uchumi wao kuharibika mpaka leo🤔
Kule Kagera Idd Amin alipiga mabomu na kuua watu, wangekuwa ni ndugu zake wale jamaa usingekuja na hoja za kitoto kama hizi.
 
Unawaza udini tu mbwa wewe kwahiyo kila anayemsema Nyerere ni muislamu? Yaani muislamu amchukie mkristo anapata faida gani? Nitokee hapa mbwa
Mbwa ni yule asiyejua aliyoyafanya Nyerere, badala ya kujibu hoja unatukana. Kanusha Nyerere hakuacha viwanda. Mkaviuza. Nyerere alitaifisha shule za WAKRISTO ili watu wote wasome. Tulisoma bure, tulitibiwa bure, wanafunzi/wanachuo tulisafiri bure. Leo Hadi maiti hutoi mpaka hela. Na yooote hayo aliyafanya bila ,kuchimba madini Wala kuuza mbuga za wanyama Wala kuuza bandari. Bado hatujasema alivyokomboa nchi za kusini mwa Africa toka kwa wakoloni, Angola, msumbiji, Namibia, Zimbabwe, nk. Mchukie Nyerere tu. Lakini usimlinganishe na yeyote katika uongozi. Unapokimbilia matusi unakosa hoja. Bisha hayo niliyoandika kama ulikuwepo.
 
Labda ujinga nilipewa na ukoo wako na mama yako!
Idiot

Matusi, kutoelewa lugha ya picha vinadhihirisha hicho kichwa unatumia kuhifadhi makamasi tu. Endelea kuwalaumu Nyerere na mababu zako kwa ujinga wako. I rest my case.
 
Mbwa ni yule asiyejua aliyoyafanya Nyerere, badala ya kujibu hoja unatukana. Kanusha Nyerere hakuacha viwanda. Mkaviuza. Nyerere alitaifisha shule za WAKRISTO ili watu wote wasome. Tulisoma bure, tulitibiwa bure, wanafunzi/wanachuo tulisafiri bure. Leo Hadi maiti hutoi mpaka hela. Na yooote hayo aliyafanya bila ,kuchimba madini Wala kuuza mbuga za wanyama Wala kuuza bandari. Bado hatujasema alivyokomboa nchi za kusini mwa Africa toka kwa wakoloni, Angola, msumbiji, Namibia, Zimbabwe, nk. Mchukie Nyerere tu. Lakini usimlinganishe na yeyote katika uongozi. Unapokimbilia matusi unakosa hoja. Bisha hayo niliyoandika kama ulikuwepo.

Huyu binti hana akili anajua matusi tu. Hajibu hoja wala haelewi chochote kile zaidi ya matusi tu. Kichwa chake anatumia kuhifadhi makamasi tu. Ni kupoteza muda kujibishana nae.
 
Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Adui namba moja wa Tanzania ni NYERERE. Nyerere hakutaka kuachia madaraka lakini alipohidi kuwa anataka kupinduliwa akaachia ili kulinda heshima yake.

Adui namba moja wa taifa hili ni J. K. Nyerere.

Cc Monetary doctor
 
Adui namba moja wa Tanzania ni NYERERE. Nyerere hakutaka kuachia madaraka lakini alipohidi kuwa anataka kupinduliwa akaachia ili kulinda heshima yake.

Adui namba moja wa taifa hili ni J. K. Nyerere.

Cc Monetary doctor

Mnajua hata coup d'etat zinavyofanya kazi au mnajisema tu?

Kwahiyo Nyerere alitaka kupinduliwa ila akaamua kuachia madaraka na kumpa mtu wa chama chake aendelee? Mapinduzi gani ya namna hiyo?

Nani wa kufanya mapinduzi ya rais nchi hii? acheni kujifurahisha nyie. Nini kinawashinda kufanya mapinduzi sasa wakati rais ana the lowest approval rating ever? Hamjui mnachoongea nyie watu.
 
Back
Top Bottom