let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
Sijasema we ni mbwa,nimesema umekuwa "KAMA" mbwa mwenye kichaa.Kama unaweza kumjibu mbwa wewe je utakuwa ni nani? Mbweha au pimbi?
typing nonsense like you are in dingy joint.
Sijasema we ni mbwa,nimesema umekuwa "KAMA" mbwa mwenye kichaa.Kama unaweza kumjibu mbwa wewe je utakuwa ni nani? Mbweha au pimbi?
🤣🤣🤣 Eti masikini unanijuaje mimi ni masikini kwa ID fake? 0716531218 nitafute kwahiyo namba halafu ndiyo ujue kama mimi ni masikini au laah mjinga weweBabu yako masikini. Baba yako masikini. Wewe ushakua mtu mzima bado masikini. Hapo tatizo ni wewe sio watangulizi wako. Ukishakua mtu mzima you are the background huwezi endelea kulalamikia background yako. Hizi cheap excuses mnazotafuta ni ufinyu wa akili na uvivu wa uwajibikaji badala ya kukabiliana na uhalisia.
“If You Born Poor,It is not your mistake, but if you die poor,it is your mistake”
🤣🤣🤣 Eti masikini unanijuaje mimi ni masikini kwa ID fake? 0716531218 nitafute kwahiyo namba halafu ndiyo ujue kama mimi ni masikini au laah mjinga wewe
Kama kuandika tu hujui, utajua wapi aliyoyafanya Nyerere, eti kumbalaguza ? Ndiyo nini ?????Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Wewe ni pimbi tu, it doesn’t make any differenceSijasema we ni mbwa,nimesema umekuwa "KAMA" mbwa mwenye kichaa.
typing nonsense like you are in dingy joint.
Matanzania yameshindwa kujipigania yenyewe dhini ya mafisadi ya taifa sasa yanarusha lawama hovyo! Yatalaumu hadi mawe!Kama kuandika tu hujui, utajua wapi aliyoyafanya Nyerere, eti kumbalaguza ? Ndiyo nini ?????
Mzee/Mwl Nyerere aliacha viwanda zaidi ya 400, mmewauzia wahindi mkang'oa machines na kuvifanya ma-godowns ya kuhifadhia takataka za china. (Aibu)
Kulikuwa na kiwanda mpaka cha kusafisha mafuta (crude oil) toka nje,, mmewapa waarabu wanahifadhia mafuta wanayotulangua kwa bei mbaya. (Aibu)
Anayempinga Nyerere ni ama hakuwepo enzi zake, au ni mdini anayewachukia WAKRISTO.
Huwezi hata robo kumlinganisha Nyerere na watawala waroho wanaolifisi taifa kwa kasi na pupa ya ajabu.
Kuna vitu Nyerere hangethubutu kuviuza kama vile, mbuga za wanyama, bandari, misitu,, madini, gas, nk vyote vimeuzwa ambavyo ndivyo moyo wa nchi.
Wakati huo maji, vyoo vya shule, ajira, amani hakuna. Tafakari, usimlinganishe Nyerere na Rais yeyote Tanzania baada yake. Tumeishi maisha ya Marais wote, I know them.
Matahahira hawawezi kukuelewa hasa huyu mleta Uzi.Mchunguze umri,shule na vyuo alivyosoma utagundua TU kwa nini eneo analohubiria Mwamposa wanajeshi wa Tanzania walikuwa wanapategemea kwa nyama za makopo na biscuits kipindi Cha vita vya Kagera.Hawa vijana wajinga sana Tembeleeni viwanda vya Moro watu wanafugia mbuzi huku wakikopa mabasi.Tuweke historia kidogo hapa. Sijasoma sehemu, tulikuwepo.
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu na kumpisha Mwinyi. Leo ni miaka 40 imepita. Tumeshindwa kubadirisha alioyaweka? Stupid
2. Mfumo wa vyama vingi, umeanza rasmi mwaka 1992 baada ya mzee Mwinyi kuunda tume ya jaji Nyalali, tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo. Kwanza hadi hapo, kosa la Nyerere liko wapi? It was him alikishauri chama chake kuachana na hao 80% waliotaka ccm kushika HATAMU. Bado tunamlaumu Nyerere? Walau akiwa hai, Police, Jeshi, Mahakama na hata bunge vilikua strong hasa baada ya mfumo wa vyama vingi and it was him alitapendekeza hata mgombea huru asie na chama akubaliwe kugombea, wahafidhina walimgomea hilo, mahakama pia ilimuunga mkono askofu Mtikila na Nyerere but Lumumba sports wamegoma hadi leo. Bado tunamlaumu Nyerere? Nonsense
Nyerere aliiacha nchi ikifuata mfumo wa ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha pia...., tunavyo hivo vitu? Aliacha pia muungano wenye nchi 1 na serikali 2 but serikali moja ikiwa haina meno; leo hali ikoje? Kama tuliweza kubadiri mambo yake hayo mengi tu, tunashindwa nini kubadiri mengi aliofeli? Sawa sawa na wewe umezaliwa familia masikini, baba yako ni fukara lakini hadi watoto wako wanamlaumu babu yao kwa umasikini wao, huoni kama kunakua na upungufu wa akili kichwani? Miaka 40 bila Nyerere madarakani, miaka 33 bila Nyerere chamani na miaka 26 bila Nyerere duniani but still we blame him. Mleta uzi huna tofauti na viongozi wengi wa Africa wanaolalamikia umasikini wa nchi zao kwasababu ya kutawaliwa na wakoloni, wanasahau kama hata nchi zote za Asia except Japan nazo zilitawaliwa including China, now China ni nchi bora kiuchumi ikishika nafasi ya 2 duniani baada ya USA.
Anatukuzwa sana lkn kwa kweli kama sio Nyerere tungekuwa mbali sanaTuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Hiyo historia aliyoitengeneza nyerere mwenyewe ni potofu kabisa. Bora ifutwe tuUna umri Gani ?
Na historia nchi yako unaifahamu vizuri ?
Ukirudi shule kajifunze historia ya baba wa Taifa lako vizuri
Kinachozuia ni watu kuendelea kutukuza fikra zakeTangu amekufa ni miaka mingapi?Nini kinakuzuia kufanya mabadiliko?
Hakuachia madaraka, bali alitema bungo, famasiala nini1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu
Hakuna kitu, hiyo tume ndio matokeo ya sasa ya kuwa na watumishi waongongo, tangu lini tume waunde wenyewe hapo utategemea nini? kwa nini sasa wakiambiwa iwepo tume huru ya uchaguzi hawataki...tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo
Nani katukuza hizo fikra hadi akakusababisha wewe ushindwe kufanya utakayo?Acheni kujilalamisha huku hamna mnachokofanya.Kinachozuia ni watu kuendelea kutukuza fikra zake
Mbona umesahau, au umeficha kwa makusudi kosa lake kubwa kuliko yote?Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake
Ukabila,ufisadi,uoga,udini, udikiteta,katiba mbovu yeye ndiyo chanzo lazima tuuseme ukweli aisee lakini yeye angekubali kukosolewa na hakika tusingefika aisee.Mtu amekaa madarakani miaka 24 ila nchi ilikuwa inasuasua tu na Sera zake ujamaa baada ya kuona mambo magumu akaamua ung'atuke ili amuachie msala mwenzio ila na yeye mwenzake alijitahidi ila na yeye alifeli bila shaka nchi nae ilimshinda japo alijitahidi
Nashangazwa na watu ambao wanampraise nyerere najiuliza amefanya kipi cha maana? Au huu kisa alipewa uhuru ambao hakuupigania? Ona mwenzie jomo kenyata alivyoipambania kenya mpaka leo kenya atleast unanitumia angalau ila sisi ndiyo tupo pale pale Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo kwenye nchi hii.
Moderator acheni huu # we dare to talk openly as long as sijamtukana mtu wala kumbalaguza mtu#
Mada inanoga sana hii.Nimekaa sehemu fulani wanapita pita watoto wazuriiiii ila hawana matterco
🤣🤣 Acha basiiiNakuibia siri, mimi ni JWTZ ngazi ya juu. SISI Tunawasubiri Watanzania mlianzishe. Ndani ya siku tatu tunawaunga mkono. Hatuyapendi yanayofanywa na viongozi wenu. Tunashindwa tuanze vipi. Mkiweza lianzisheni ila kufa kupo na ukombozo mtaupata. Usimwambie mtu. Hii ni siri
Bado haipingi ukweli kuwa Nyerere Amechangia pakubwa katika kuliangusha hili Taifa ,Punguani waheed usiyejua hata Historia. Hivi hujui kuwa level ya ukosoaji enzi zile ilikuwa kubwa sana kuliko leo? Ukiwasikia Wazee wakina Warioba, Butiku, Jenerali Ulimwengu na wengineo jua hao ni wachache tu miongoni mwa kizazi chenye uthubutu mkubwa cha enzi zile. Walikuwepo pia akina Tuntemeke Sanga,Michael Kamaliza,Bibi Titi Mohammed,Dr.Kyaruzi,Gavana Edwin Mtei, na wengine kibao. Leo kuna Gavana wa kumkosoa Rais kama alivyofanya Mzee Mtei? Kule jeshini walikuwepo makomandoo walioonyeshwa kukerwa na baadhi ya mambo na mwaka 1964, na 1982 wakajaribu kufanya jambo zito. Leo jeshini kwenu watu wa hivyo wapo?
Jana umemsikia Balozi Humphrey Polepole kakohoa, na huyu siyo kijana mwenzio kama unavyofikiri we poyoyo. Vijana wenzako wamejaa UVCCM wanajipodoa tu. Sasa basi, kitendo alichokifanya Balozi Polepole kiliwahi kufanywa na Balozi Kasanga Tumbo miaka ya Mwl.Nyerere. Umepita miaka mingapi nyie vijana wa hovyo hamjaweza kufanya hivyo?
Hapo sijagusi Wanafunzi wa Vyuo vikuu walioumiza kichwa serikali, akina Samuel Sitta. Leo kwenye Universities zenu hakuna watu wa aina hiyo. Usilinganishe kizazi kilichokuwa kinajitambua na hiki kisichojitambua.
😁😁😁😁Kabla ya kusoma vitabu mbali mbali nje ya darasani nilimuona Nyerere baba wa taifa.
Ukisoma vitabu tofauti na vya darasani Nyerere mjanja kama Kikwete
Tuambie hivi, matatizo ya nchi hii,ni muungano na muundo wa ccm,ulio anzishwa na Nyerere,mwisho ,tunaongozwa na wakimbiziTuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka kumuambia ukweli anakuweka detention( korokoroni? Ndiyo maana alitofautiana na Ndugu Kambona kutokana kutoambilika kwake