Matatizo ya nchi hii chanzo ni ndugu Nyerere

Acha Nyerere aitwe baba wa taifa.
Nilisoma bure form five,
JKT bure bila malipo,
Chuo kikuu bure tena nikawa nalipwa book allowance, meal allowance, higher education allowance, meal allowance na stationery allowance.
Kuna watu wengi Tz kama sio elimu ya bure wasingetoboa.
 
🀣🀣🀣 Eti masikini unanijuaje mimi ni masikini kwa ID fake? 0716531218 nitafute kwahiyo namba halafu ndiyo ujue kama mimi ni masikini au laah mjinga wewe
 
🀣🀣🀣 Eti masikini unanijuaje mimi ni masikini kwa ID fake? 0716531218 nitafute kwahiyo namba halafu ndiyo ujue kama mimi ni masikini au laah mjinga wewe

You must be as dumb as a donut. Kwa akili yako kusema wewe masikini namaanisha wewe literally? Lugha ya picha hujui sijui shuleni ulisomea ujinga? Kama jambo dogo hivyo huwezi kuelewa endelea kumlaumu Nyerere na mababu zako kwa ujinga wako.
 
Kama kuandika tu hujui, utajua wapi aliyoyafanya Nyerere, eti kumbalaguza ? Ndiyo nini ?????

Mzee/Mwl Nyerere aliacha viwanda zaidi ya 400, mmewauzia wahindi mkang'oa machines na kuvifanya ma-godowns ya kuhifadhia takataka za china. (Aibu)

Kulikuwa na kiwanda mpaka cha kusafisha mafuta (crude oil) toka nje,, mmewapa waarabu wanahifadhia mafuta wanayotulangua kwa bei mbaya. (Aibu)

Anayempinga Nyerere ni ama hakuwepo enzi zake, au ni mdini anayewachukia WAKRISTO.

Huwezi hata robo kumlinganisha Nyerere na watawala waroho wanaolifisi taifa kwa kasi na pupa ya ajabu.

Kuna vitu Nyerere hangethubutu kuviuza kama vile, mbuga za wanyama, bandari, misitu,, madini, gas, nk vyote vimeuzwa ambavyo ndivyo moyo wa nchi.

Wakati huo maji, vyoo vya shule, ajira, amani hakuna. Tafakari, usimlinganishe Nyerere na Rais yeyote Tanzania baada yake. Tumeishi maisha ya Marais wote, I know them.
 
Mtanzania
Matanzania yameshindwa kujipigania yenyewe dhini ya mafisadi ya taifa sasa yanarusha lawama hovyo! Yatalaumu hadi mawe!
 
Matahahira hawawezi kukuelewa hasa huyu mleta Uzi.Mchunguze umri,shule na vyuo alivyosoma utagundua TU kwa nini eneo analohubiria Mwamposa wanajeshi wa Tanzania walikuwa wanapategemea kwa nyama za makopo na biscuits kipindi Cha vita vya Kagera.Hawa vijana wajinga sana Tembeleeni viwanda vya Moro watu wanafugia mbuzi huku wakikopa mabasi.
 
Anatukuzwa sana lkn kwa kweli kama sio Nyerere tungekuwa mbali sana
 
1. Kama kweli Nyerere alikua hashauriki, why aliachia madaraka yeye mwenyewe kwa hiyari yake? Hakulazimishwa. October 1985 aliondoka Ikulu
Hakuachia madaraka, bali alitema bungo, famasiala nini
Alimuangushia jumba bovu Mwinyi, alikuta nchi masikini sana
Watu tulikuwa tunavaa nguo za viraka, fundi cherehani kila kona, fundi cherehani alikuwa anaheshimika kipindi kile....

tume ilikuja na majibu kwamba, only 20% ya Watanzania ndio walitaka mfumo wa vyama vingi, 80% walitaka kuendelea na mfumo uliokuwepo
Hakuna kitu, hiyo tume ndio matokeo ya sasa ya kuwa na watumishi waongongo, tangu lini tume waunde wenyewe hapo utategemea nini? kwa nini sasa wakiambiwa iwepo tume huru ya uchaguzi hawataki...

Kwa ujumla nyerere alikuwa mshenzi tu.....
 
Mwalimu Nyerere alifanya yake tena kipindi kigumu cha giza. Kulikuwa hakuna wasomi wakumshauri.

Na sasa Mwalimu Nyerere ni Mwenye Heri, bado kidogo atakuwa Mtakatifu.
 
Mbona umesahau, au umeficha kwa makusudi kosa lake kubwa kuliko yote?
Kwa chizi kama wewe kupata fursa ya kuzaliwa na wazazi wako. Asingefanya makosa kuwezesha wazazi kumpata mtu chizi wa aina yako tusingemlaumu mpaka wakati huu.
Hili ni jibu langu la rejareja tu kabla sijasoma uchafu ulioweka huko ndani. Kwa hiyo nitakapopata nafasi ya kuusoma huo uchafu, na kuazima "uchizi" ili niwe ngazi moja kwa kuelewana vizuri, nitarudi tujadili vizuri mada yako hii. Jiandae vizuri ili twende sambamba.
 
🀣🀣 Acha basiii
 
Bado haipingi ukweli kuwa Nyerere Amechangia pakubwa katika kuliangusha hili Taifa ,

Msingi wa Taifa lolote ni watu siasa safi viongozi Bora na sera Bora

Katika utawala wa Nyerere ambaye yeye mwenyewe ndiye Aliyekuwa muasisi wa hayo mawazo Niliyo yataja hapo juu kuhusu msingi wa Taifa imara katika Uongozi wake hayo hakuwa nayo hapakuwa na siasa safi hapakuwa na Uongozi Bora pia

Ni kweli Nina kubaliana na wewe kwamba nyakati hizo palikuwa na vizazi smart lakini nashiwishika kuamini kwamba vizazi hivyo kuwa na weledi mpana wa fikra ulichangia na elements zilizo achwa na wakoloni kumbuka hapa nchini palikuwa na wakoloni na walikuwa wameshikilia mifumo ya elimu na mifumo Mingine pia , So wale walio bahatika kusoma ktk shule za wakoloni ndio Kizazi kilicho ibuka Kwa kuwa smart upstairs hapo ndio una wakuta watu kama Nyerere sokoine kina Oscar kambona and the likes

Hata hao wanajeshi waliokuwa wamethubutu kutaka kumpindua Nyerere pia na wao walikuwa na influence ya elimu ya mkoloni maana kama walitaka kufanya mapinduzi mwaka 1964 it means Hilo ni jeshi lililo kuwa Chini ya utawala wa mkoloni Kisha baada ya Nyerere kupewa nchi akalirithi

so tukubaliane kwanza katika Hilo kwamba ni kweli kama Taifa Kuna wakati lilikuwa na Watu smart akiwemo Nyerere mwenyewe na Mfano mwingine sahihi ni Mzee warioba lakini hizo elements za kuwa timamu upstairs walizirithi kutoka Kwa elimu ya mkoloni ni chagizo la elimu Bora ya mkoloni

SO turudi katika hoja ya msingi -- Kaa mantiki hiyo kama vijana wa Leo Hawana uthubutu kama ule waliokuwa nao vijana wa zamani kama kina Mzee warioba kina bibi titi and the likes Je hauoni kwamba Hilo ni zao Lilo sababishwa na huyo Nyerere mwenyewe pamoja na ccm !?

Maana swali la kujiuliza ilikuwa vipi Kizazi kama Cha kina warioba na kina bibi titi kipotee pasipo kuzaliwa Kizazi kingine chenye weledi kama Kizazi Chao au ambacho kina weledi zaidi kuliko wao

Nini kilitokea !? Na Kwanini iwe hivyo Je hauoni kuwa wao ndio walio tufikisha hapa maana hiki Kizazi kilichopo katika wakati huu ndio Kizazi ambacho kimekuja baada ya wao kuwa madarakani don't you think that sera mbovu walizo nazo kama viongozi wa hili Taifa ndio zilizo changia kuwafanya vijana wa Taifa hili wakose hiyo potential na exposure pamoja na huo ujasiri !? Kama jibu ndio Hilo Je tunaweza vipi kumuondoa Nyerere katika hizo lawama wakati yeye ndiye Alikuwa ktk nafasi ya juu ya maamuzi ktk taifa Kwa takriban miaka 24 !?


Hivi mkuu inataka kuniambia kwamba nchi inapokua na sera mbovu Lazima kama Taifa na watu wake Lita anguka na ikitokea likianguka kuja ku- Shape hiyo hasara Huwa inachukua miaka mingi mnooo , maana Moja ya athari ya Uwepo wa sera mbovu ni kuzaliwa Kwa Kizazi ambacho hakito kuwa smart na Kizazi kikiwa sio smart Kwa kuwa ndio nguvu kazi ya Taifa Hilo Taifa lazima litayumba

Serikali kama baba inapokua kuwa na watoto wengi waliokosa utovu wa nidhamu inapaswa kujiuliza mara mbili nani anaye paswa kulaumiwa kati ya mtoto asiye na nidhamu au mzazi mwenyewe Kwa kufeli kwake Kuwapatia malezi Bora watoto wake

Maana haiwezekani katika watoto watano ulio wazaa Mmoja tu ndio awe na nidhamu halafu ukae na kujisifia hapo utakuwa umefeli ktk malezi , nacho maanisha ni kamba Nyerere na serikali ya ccm haiwezi kutoka katika lawama za kuliangusha hili Taifa maana wao ndio waliokuwa /ndio ambao ni watunga sera za
Kabla ya kusoma vitabu mbali mbali nje ya darasani nilimuona Nyerere baba wa taifa.
Ukisoma vitabu tofauti na vya darasani Nyerere mjanja kama Kikwete
😁😁😁😁
 
Tuambie hivi, matatizo ya nchi hii,ni muungano na muundo wa ccm,ulio anzishwa na Nyerere,mwisho ,tunaongozwa na wakimbizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…