macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Hatusifii tu. Nyerere alikuwa na makosa mengi tu. Kama yeye ndiyo chanzo, muda aliondooka ungetosha kujenga msingi mpya. Wewe huoni kuwa kama ukichiwa msingi mbovu halafu badala ya kurekebisha ukaendelea kujenga utakuwa wewe ndiye mwenye tatizo? Nchi nyingine za Afrika zenye matatizo chanzo ni Nyerere? Hesabu nchi ambazo zinaweza kuwa mfano wa kuonyesha kuwa Nyerere alifanya vibaya.Nyinyi mnamsifi sisi tunasema yeye ndiye chanzo Cha matatizo.
Ukiharibu msingi basi jengo lote huanguka.
Sema mkuu. Maana hawa viumbe kwa lawama, hawana jema hata ungewabeba mgongoni. Mfano, Wasabato walikuwa na shule zaidi ya 200 kabla ya kutaifishwa na serikali, wakatoliki na WA Anglican na Lutheran nao maelfu ya shule. Zote Nyerere akazitaifisha kwa nguvu. Babu wa hawa walalamishi wakasoma bure, leo wanamlaumu. Tuseme ukweli ndani ya nafsi,, Samia angeweza kuwanyang'anya waislam wenzake shule ili makafiri wasome tena bure ????? Acheni chuki na lawama kama watoto.Nyerere alikufa aliacha Chuo Cha TANESCO Morogoro Mali ya serikali.
Sasa mali ya waislam, kinaitwa chuo kikuu Cha Waislam.
Kweli Nyerere alikuwa mdini..
Usihangaike sana. Watanzani ndivyo tulivyo. Hii ni kawaida ya watu wavivu. Hutafuta kila sababu ili tu kuhalalisha kushindwa kwao. Hebu watoe mfano wa nchi za kiafrika ambazo zilikuwa na viongozi wazuri kuliko Nyerere na aliwaachia misingi mizuri ambayo imewasaidia na sasa wako vizuri kuliko Tanzania.Jibu maswali kwanza. Wapi mlipopeleka viwanda.
Miaka 40 ya peke yenu bila Nyerere hata sasa mnakwama wapi.
Hayo ya mabaya na mazuri hayasaidii.
Wewe una mazuri gani na mabaya gani,, tueleze.
Yaliharibiwa na wale waliotengenezwa na yeye.Jibu maswali kwanza. Wapi mlipopeleka viwanda.
Miaka 40 ya peke yenu bila Nyerere hata sasa mnakwama wapi.
Hayo ya mabaya na mazuri hayasaidii.
Wewe una mazuri gani na mabaya gani,, tueleze.
Baba asipokulea vizuri hata akikuachia ghorofa ukaliuza basi yeye ndiye mwenye makosa maana alitakiwa kujenga hata kabla hajakuruthisha.Kusema kuwa hakujenga misingi mizuri ya viwanda na maliasili ni kutojua historia ya Tanzania. Mambo mengi yaliharibika baada ya yeye kuondoka. Hivi ukiachiwa urithi wa nyumba na baba yako halafu ukauza ile nyumba utasema kosa ni la baba?
Kuhusu eti hatuambiwi mabaya ya Nyerere nako ni uongo. Nyerere ana mabaya na wengi wamekuwa wanayasema. Kwa mfano ''kutikisa'' mfumo wa elimu yetu umefanya watanzania wengi kuwa vilaza na hali imekuwa mabaya zaidi sasa hivi.
Your current life is shaped by the things you consistently focus on.Baba asipokulea vizuri hata akikuachia ghorofa ukaliuza basi yeye ndiye mwenye makosa maana alitakiwa kujenga hata kabla hajakuruthisha.
Msingi ni kitu cha muhimu mno!!!
Mkuu watanzania tunamkweza sana Nyerere lakini kiuhalisia jamaa alikuwa janja janja.Hatusifii tu. Nyerere alikuwa na makosa mengi tu. Kama yeye ndiyo chanzo, muda aliondooka ungetosha kujenga msingi mpya. Wewe huoni kuwa kama ukichiwa msingi mbovu halafu badala ya kurekebisha ukaendelea kujenga utakuwa wewe ndiye mwenye tatizo? Nchi nyingine za Afrika zenye matatizo chanzo ni Nyerere? Hesabu nchi ambazo zinaweza kuwa mfano wa kuonyesha kuwa Nyerere alifanya vibaya.
Mkuu Kuna baadhi ya vitu vinaathiriwa na mfumo ulitengenezwa na watawala lakini Kuna machache mtu unaweza ukafanya mwenyewe, kwa mfano kutopata elimu bora kunatengenezwa na watawala na si mtu binafsi.Your current life is shaped by the things you consistently focus on.
Not your parents. Not your upbringing. If you’re still pointing fingers at them, perhaps you’re just dodging a hard look at yourself.
Kwa hisani ya Kipangaspecial
Hovyo sanaHafai kuigwa na jamii!.
Watanzania tumesangangwa ana kumhusu huyu mtu.Hovyo sana
Nyerere aliongoza kipindi hiki 1961-1985 leo ni 2025 miaka hiyo 40 mingine tumefanya nini?. Kumlaumu marehemu ni ishara ya tatizo kubwa linalotusumbua kitaifa.Founder wa haya yote yanayofanyika Leo hii ni Nyerere.
Uwoga wa watanzania umetengenezwa na Nyerere, uonevu unaotokea aliusuka Nyerere, umalaya unaotokea umeasisiwa na Nyerere, umasikini ambao umetamalaki umeasisiwa na bwana Nyerere.
Nyerere hafai kuigwa na jamii.
Ni Baba wa Taifa kwa waliokuwepo miaka hiyo ya uongozi wake wakaiona dunia halisi ipo vipi kwa kuilinganisha na Tanzania.Watanzania tumesangangwa ana kumhusu huyu mtu.
Hafai hata kuitwa kaka wa taifa.
Nasema katengeneza misingi mibovu ambayo inawapa mianya hawa viongozi wenzake vichwa maji kutawala kwa maslahi yao.Nyerere aliongoza kipindi hiki 1961-1985 leo ni 2025 miaka hiyo 40 mingine tumefanya nini?. Kumlaumu marehemu ni ishara ya tatizo kubwa linalotusumbua kitaifa.
Umaskini dawa yake ni kupambana nao. Japan walipigwa na atomic bomb mwaka 1945 hawakukaa kujisikitikia wakaingia kazini leo hii Japan ni nchi tajiri ya dunia ya kwanza.Kwani inakushangaza mkuu 'steven', kwani haya ni mapya!
Kwanza nikuulize, ni nini madhumuni ya mada hii hapa kwa sasa, unajuwa?
Hakuna lolote zaidi ya kuendekeza hulka ya kimaskini ya kumtafuta mtu wa kumnyooshea kidole.Nasema katengeneza misingi mibovu ambayo inawapa mianya hawa viongozi wenzake vichwa maji kutawala kwa maslahi yao.
Watoto wadogo wanaodanganywa mashuleni ndio wanaoimba mazuri ya Nyerere. Pia wale wazee wenye uelewa fupi kama mkia wa sungura nao wanamsifu sana lakini wale wote waliosoma enzi za utawala wake na wenye uelewa mkubwa walimwona Nyerere kama andazi.Ni Baba wa Taifa kwa waliokuwepo miaka hiyo ya uongozi wake wakaiona dunia halisi ipo vipi kwa kuilinganisha na Tanzania.
Watoto wadogo wa miaka ya juzi ndio wanaimba nyimbo za chuki dhidi ya Nyerere.
Alitumia akili ya kuhakikisha tunaongea lugha moja ya kiswahili, jiulize taifa hili lingekuwa wapi hivi sasa kama angetanguliza ubinafsi wa kukosa busara ya kuunganisha tuwe kitu kimoja.Amani inayobatana na hofu na umasikini ni umalaya umalaya tu.
Hata hivyo vyuo vilivyompa Nyerere shahada ya heshima vingi ni vya nje ya Afrika na walimpa Ili kutupumbaza kiakili na unafiki kama kuna vyuo vya ndani vilivyompa hiyo heshima basi walimpa kwa sababu nao ni wajinga kama wajinga wengine.
Kwa nini shuleni wanafundisha mazuri tu ya Nyerere kwa nini upande wa mabaya aliyoyatebda haufundushwi?
Nyerere ni tapeli mkubwa sana kupata kutokea hapa nchini.
Kitu hakijafanyika kwa sababu yeye hakuwaanda vizuri watu wa kufanya kile kinachopaswa kufanyika.Hakuna lolote zaidi ya kuendekeza hulka ya kimaskini ya kumtafuta mtu wa kumnyooshea kidole.
Nyerere kafa 1999 miaka 26 imepita, nini kimefanyika kuondokana na huu umaskini?.
Ubinadamu wake una mipaka, hao marais wengine watano waliomfuatia wamefanya kitu gani?.Kitu hakijafanyika kwa sababu yeye hakuwaanda vizuri watu wa kufanya kile kinachopaswa kufanyika.