Hii ni amani feki mkuu. Hebu tazama kinachojiri sasa hivi hapa nchini kisha uniambie.Alitumia akili ya kuhakikisha tunaongea lugha moja ya kiswahili, jiulize taifa hili lingekuwa wapi hivi sasa kama angetanguliza ubinafsi wa kukosa busara ya kuunganisha tuwe kitu kimoja.
Nenda Nigeria na Cameroon uone jamii zao zinavyoukosa utaifa kwa watu kutanguliza mbele makabila yao.
Nenda Ivory Coast uone walivyopigana kwa miaka mingi mpaka Drogba na wachezaji wenzake wakapiga magoti mbele ya kamera za TV kuwasihi wanasiasa waachane na tabia za kidhalimu na kibinafsi.
Nyerere kafa miaka 26 iliyopita, haiwezekani milele yote tukaendelea kumnyooshea yeye vidole, vipi kama asingewahi kuwa rais wetu?.
Sasa kwa nini unanieleza leo haya, mkuu wangu 'steven'; kwani haya ni mapya kweli; mbona siku zote humu tumekuwa tukihangaishana juu ya haya haya, mkuu wangu!Umaskini dawa yake ni kupambana nao. Japan walipigwa na atomic bomb mwaka 1945 hawakukaa kujisikitikia wakaingia kazini leo hii Japan ni nchi tajiri ya dunia ya kwanza.
Kina Thailand, Singapore miaka ya 60 tulikuwa nao sawa leo hii ni matajiri sana.
Singapore na Dubai wanatajirika kwa kutegemea utalii pekee, sisi tumejaliwa ardhi nzuri na kila aina ya maliasili bado vijana wadogo wanamlalamikia Nyerere!, vipi tungekuwa hatuna chochote hali ingekuwaje.
Magufuli angepewa miaka kama aliyoongoza Nyerere angefanya vyema zaidi labda na mkapa Hawa wengine ni utopolo.Ubinadamu wake una mipaka, hao marais wengine watano waliomfuatia wamefanya kitu gani?.
Na tulikuwa tunapambana nao; na kukumbana na vikwazo chungu nzima; lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumalizia mapambano hayo hapo, yalitakiwa yaendelee kufuatana na mazingira ya wakati husika.Umaskini dawa yake ni kupambana nao.
Watoto wanaweza kulelewa na baba mmoja baadaye mmoja anakuwa wa ovyo na mwingine wa tabia njema na mwenye mafanikio.Baba asipokulea vizuri hata akikuachia ghorofa ukaliuza basi yeye ndiye mwenye makosa maana alitakiwa kujenga hata kabla hajakuruthisha.
Msingi ni kitu cha muhimu mno!!!
Tanzania haikuwekewa vikwazo, ilijiwekea kwa kupendana na wajamaaNa tulikuwa tunapambana nao; na kukumbana na vikwazo chungu nzima; lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kumalizia mapambano hayo hapo, yalitakiwa yaendelee kufuatana na mazingira ya wakati husika.
Sisi tulibwaga mnyanga moja kwa moja, na kujisalimisha!
Wakati jaribio la mapinduzi lilipotokea nahisi ulikuwa embryo ama wazazi wako hakuzaliwa kabisa. Hapa Tanzania hata usome Vipi huwezi ukafundishwa jinsi Nyerere alivyokuwa mtu mbaya, pia huwezi kusikia kama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu hapa Tanzania.
Kua uyaone maisha 😎.
Hizo ndizo stori mnazopenda kusikia msiokuwa na vikra huru. Kwani kupendana na wajamaa ilikuwa ni dhambi?Tanzania haikuwekewa vikwazo, ilijiwekea kwa kupendana na wajamaa
Sina hakika kama umesoma vizuri uzi, uzi unasema, "Chanzo cha matatizo yetu ya sasa ni Nyerere"Hakuachia madaraka, bali alitema bungo, famasiala nini
Alimuangushia jumba bovu Mwinyi, alikuta nchi masikini sana
Watu tulikuwa tunavaa nguo za viraka, fundi cherehani kila kona, fundi cherehani alikuwa anaheshimika kipindi kile....
Hi statement kama sikosei aliitamka mwaka 1981, miaka 11 kabla ya mfumo wa vyama vingi kuanza, enzi za vita baridi kati mashariki yakiongozwa na Urusi na magharibi yakiongozwa na Marekani. Tunaweza kua na tafsiri tofauti kuhusu hiyo statement, mimi nilimtafsiri hivi, "ccm ikiyumba, nchi pia itayumba, ccm ikiwa imara, taifa pia litapoteza mwelekeo"Bila CCM imara nchi yetu itayumba. Hii ilikuwa imani ya Mwalimu akiitumia kuhalalisha taratibu zinawekwa ili CCM iendelee kutawala hata kama tuna sarakasi za vyama vingi.
Mjusi wewe, mada na commentz zako humu huwa zinajionesha tu ni mvaa kobazi.hahahaha kwahiyo kila anayempinga Nyerere ni muislamu? Come down basi we mzanaki wa Rwamkoma wewe, halafu mimi nipo huku butiama nawatumbua majipu wazanaki wenzio huku
Binafsi mimi huwa sitaki kuwa mnafiki kabisa, kwa jinsi mnavyowaona hawa watu hawafai kabisa kishika uongozi wowote wa juu hasa uraisi, hawajui wala hawana hulka ya uongozi.Shida ni DINI ndugu yangu. Muislam yeyote msaidie hata kupata kazi, hawezi kukushukuru hata siku 1 kwasababu wewe sio Muislam mwenzie. Fikiria Nyerere asingechukua shule za hadi za kanisa lake, Waislamu haw wangesoma wapi? Au put this way, say shule kama Tosamaganga, ile ya Dodoma, Mkwawa, nk zingekua zinamilikiwa na Waislamu halafu Nyerere Mkristo akazichukua ziwe mali ya umma, si angesomewa albadiri na masheikh wote Tanzania? Kama sio Nyerere hata kuondoa udini bongo, unadhani kuna muislam angekuja kushika urais wa nchi hi kweli? Dini inafundisha chuki kwa wengine, sio ajabu kabisa kumlaumu Nyerere kwa makosa yanayofanywa na wengine
Nyerere alifanya kazi ngumu ya kujenga misingi, anayemlalamikia leo hii kasahau ugumu wa kazi iliyomlazimu kuifanya mpaka Tanzania ikafika hapa ilipo.Magufuli angepewa miaka kama aliyoongoza Nyerere angefanya vyema zaidi labda na mkapa Hawa wengine ni utopolo.
aki mke wa vicent Nyerere kuwa staha na vikao vya wanaume humuMjusi wewe, mada na commentz zako humu huwa zinajionesha tu ni mvaa kobazi.
Huna uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kupiga makelele ya kijinga huku mitandaoni fala wewe.
We ndiyo umejibu ujinga gani? Magufuli ndiyo mwanzilishi wa uchawa,ukabila,ujinga, upumbavu, sifa na kujipendekeza? Magufuli alikuwa mkristo na unajua awamu ya Magufuli amepoteza waislamu na mashekhe wangapi nchi hii? We umewahi kusikia padre au kiongozi wowote wa kikristo amepotezwa awamu yake? Acha upumbavu na huyo Christian supreme yako eres tontoBinafsi mimi huwa sitaki kuwa mnafiki kabisa, kwa jinsi mnavyowaona hawa watu hawafai kabisa kishika uongozi wowote wa juu hasa uraisi, hawajui wala hawana hulka ya uongozi.
Ni wabaguzi sana, kwao yeyote asiyemuumini wa dini ya kiislamu hana thamani.. sasa watu kama hawa ndio tunawapa nchi kama hii ambayo majority ya raia wake sio waislamu? Si ndio maana kila kitu ni ovyo tu.
Hawa kama ni uongozi basi waishie kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa tu basi na tena kwenye mikoa ambayo majority ya wakazi wake ni waislamu.