Match ya Boxing kati ya Mike Tyson na Jake Paul, matokeo yalikwisha pangwa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul Logan kuwa maarufu zaidi, ni mbinu za kibiashara za kumkuza Paul Logan, na tayari media nyingi za Marekani zilikwisha sema kuwa Paul Logan lazima ashinde. Lengo la pili ilikuwa ni kumuwezesha Mike Tyson kiuchumi.

Kwenye kufanya Promotion wazungu wako mbele ya muda. Achana na hawa wabongo wanatukanana insta kutafuta kiki, issues ya Tyson na Logan inaanza utotoni ambapo kuna picha ilipigwa ikionesha Tyson akin'gata shati la Logan alilovaa kipindi akiwa mtoto, katika onesho moja la Mike Tyson miaka ya 90, baadae Logan abaada ya kukua ndio akaja na promotion ya pambano na Tyson kwa ajili ya kukuza biashara huku akitumia hiyo picha ya Utotoni kama silaha kwamba anataka kulipa kisasi

Screenshot_20241116-182141_1.jpg

Kwa mujibu wa mkataba waliosaini Mike Tyson na Jake Paul, Tyson hakuwa anaruhusiwa kutumia Ngumi aina ya UPPER CUT katika muda wowote wa pambano

Pambano hilo halikutakiwa kumalizika mapema na kama ingetokea Tyson akashinda mapema basi asingelipwa kiasi chote cha fedha alizotakiwa kulipwa (Dola milioni 20)

Pambano hilo lilitazamwa na watu milioni 60 kupitia Netflix huku wengine elfu 70,000, ambao walinunua tiketi kwenye uwanja wa AT&T huku mauzo ya tiketi yakiingiza jumla ya dola milioni 18,

Mwisho wa pambano hilo Logan baada ya kushinda kaonesha kutoa shukurani za dhati kwa mike na akimuita "Nguli wa muda wote wa Boxing", na kusema kuwa amekuwa akimtazama tangu utotoni. Mwisho logan aliinamisha kichwa kama ishara ya kutoa shukurani kwa Mike baada ya pambano.

Screenshot_20241116-182153_1.jpg
 
You can't box at 58, huwezi tu, it's the other way around, walipanga wasimuaibishe tu Tyson.... In a serious fight Jake anampiga huyu Mzee hata napambano 100 mfululizo, the Mike you knew is gone, this is the shadow of the man, get over it
Yeah!... Wakati ni ukuta .
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba Mike Tyson alishaanza kuingia kwenye utitiri wa madeni. Ukwasi wote aliokusanya ujanani aliufuja kwa haraka sana

Nakubaliana na mtoa mada kwamba moja ya sababu za hili pambano ilikuwa ni kumtoa Mike kwenye hiyo financial crisis aliyokuwa anapitia.

Kwenye hilo pambano Mike kaondoka na 20$ million, hii ni sawa na 54 billions kwa pesa za madafu, sio haba.
 
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul Logan kuwa maarufu zaidi, ni mbinu za kibiashara za kumkuza Paul Logan, na tayari media nyingi za Marekani zilikwisha sema kuwa Paul Logan lazima ashinde. Lengo la pili ilikuwa ni kumuwezesha Mike Tyson kiuchumi.

Kwenye kufanya Promotion wazungu wako mbele ya muda. Achana na hawa wabongo wanatukanana insta kutafuta kiki, issues ya Tyson na Logan inaanza utotoni ambapo kuna picha ilipigwa ikionesha Tyson akin'gata shati la Logan alilovaa kipindi akiwa mtoto, katika onesho moja la Mike Tyson miaka ya 90, baadae Logan abaada ya kukua ndio akaja na promotion ya pambano na Tyson kwa ajili ya kukuza biashara huku akitumia hiyo picha ya Utotoni kama silaha kwamba anataka kulipa kisasi

Mwisho wa pambano hilo Logan baada ya kushinda kaonesha kutoa shukurani za dhati kwa mike na akimuita "Nguli wa muda wote wa Boxing", na kusema kuwa amekuwa akimtazama tangu utotoni. Mwisho logan aliinamisha kichwa kama ishara ya kutoa shukurani kwa Mike baada ya pambano.
Hujui boxing dogo. Unadhani mike wa miaka hii 58 atakuwa the same na anayepigana naye yupo kwenye 20s kama sikosei 27? Usikurupuke. Promotions ni kawaida. Unafahamu Messi L. Aliwahi mwogesha mchezaji gani akiwa mdogo na sasa hivi ni mchezaji maarufu? Jake to bow ni kuonesha respect kwa Mike Tyson. Wazungu wana respect so hata kama angekuwa hajawah onana naye kila Mwanamasumbwi anamfahamu Mike Tyson ni nani.

DOgo haya mambo huyafaham.siyo kila ukisimuliwa unakuja kuanzisha uzi.
 
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul Logan kuwa maarufu zaidi, ni mbinu za kibiashara za kumkuza Paul Logan, na tayari media nyingi za Marekani zilikwisha sema kuwa Paul Logan lazima ashinde. Lengo la pili ilikuwa ni kumuwezesha Mike Tyson kiuchumi.

Kwenye kufanya Promotion wazungu wako mbele ya muda. Achana na hawa wabongo wanatukanana insta kutafuta kiki, issues ya Tyson na Logan inaanza utotoni ambapo kuna picha ilipigwa ikionesha Tyson akin'gata shati la Logan alilovaa kipindi akiwa mtoto, katika onesho moja la Mike Tyson miaka ya 90, baadae Logan abaada ya kukua ndio akaja na promotion ya pambano na Tyson kwa ajili ya kukuza biashara huku akitumia hiyo picha ya Utotoni kama silaha kwamba anataka kulipa kisasi

Mwisho wa pambano hilo Logan baada ya kushinda kaonesha kutoa shukurani za dhati kwa mike na akimuita "Nguli wa muda wote wa Boxing", na kusema kuwa amekuwa akimtazama tangu utotoni. Mwisho logan aliinamisha kichwa kama ishara ya kutoa shukurani kwa Mike baada ya pambano.
Weka video
 
Back
Top Bottom